Post za Uhamiaji 2015/2016.

Post za Uhamiaji 2015/2016.

Itsi

Member
Joined
May 29, 2013
Posts
23
Reaction score
5
Ni juzi tu vijana wa Uhamiaji wamemaliza mafunzo kule Moshi. Ktk hotuba yake ya bajet ya mwaka wa fedha 2015/2016, Waziri wa MOHA pamoja na mambo mengine alisema Idara ya Uhamiaji itaajiri vijana 1,066 kwa mwaka huu wa fedha. Juzi niliongea na rafiki yangu yuko JKT alinambia Uhamiaji wamewafanyia interview vijana palepale kwenye kikosi chao na kuwachukua kwenda mafunzo Moshi. Naomba tujuzane wana JF kwa wale mnaopata habari za ndani za Uhamiaji, iv ni kweli hawa watu mara hii hawachukui vijana kutoka mtaani (ambao hawajapitia JKT?).
 
baada ya zengwe la mwaka jana usauli wa uhamiaji ni jkt tu
 
Back
Top Bottom