Kuhusu bot post za oktoba 2014.

Kuhusu bot post za oktoba 2014.

Itsi

Member
Joined
May 29, 2013
Posts
23
Reaction score
5
Mnamo 31 Oktoba 2014 BOT ilitangaza post za Administrative Officer III, Assistant Record Management Officers na nyiginezo. Naomba mnijuze wadau kama tayari watu wameshaajiriwa katika hizo post au la? Nawasilisha.
 
Watu wako job siku nyingi sana mzazi.
 
Back
Top Bottom