KWA KWELI KATI YA MAMBO AMBAYO HUYU MH. NASHINDWA KUMWELEWA NI TABIA YAKE YA UCHONGANISHI. ANA VIMANENO VYA KUKERA SANA NA KUWAFANYA WATU WACHUKIANE. AM SO SORRY, I HATE THIS HABIT KWA KWELI. RAIS KUWA MCONGANISHI? NI MBAYA SANA.
Tafakari...!!
NI BAHATI MBAYA SANA HADHIRA YAKO IMESHINDWA KUELEWA MAUDHUI YA ANDIKO LAKO. UMETUMIA KISA CHA HERODE NA BINTIYE HERODIA KUMSHAURI MH. RAIS ACHUKUE MAAMUZI MAGUMU YA KUFANYA KILE MOYO WAKE HAUPENDI KUFANYA, KUTENDA KILE DHAMIRI YAKE HAIFURAHII KUKITENDA...KUSIKILIZA MAWAZO YA ASIO WAPENDA...
Nchi kilichobaki ni kusubiri wabunge wa ccm wafumbuliwe macho, akili na fahamu zao waweze kusimama kwa imani zao na kujitenga na unafiki. Vijana wa ccm wafumbuliwe macho, akili na fahamu zao waweze kusimama kwa imani zao, wajitenge na unafiki, waishi kwa akili zao bila kutegeme vyeo vya uteule...
Hebu fanya marekebisho kidogo kwenye heading yako. Bwana Benedicto Mutungirehi hakuwahi kuwa mbunge kwa tiketi ya chadema, bali mbunge wa TLP ya Lyatonga Mlema kabla ya mwaka 2015 kuhamia na kugombea kwa tiketi ya chadema.
Juliana Shonza muda mfupi tu baada ya kujiunga na ccm akapewa ubunge viti maalumu, kumbe ni kwa sababu anawapanulia mambomambo wazee wa ccm...!!??
Akili za vijana wa ccm mnazijua wenyewe nyinyi...!!
Tafakari...!!
Mkuu, ukisoma andiko huku ukiwa na muegamo fulani huwezi elewa ujumbe wa andiko husika. Kwenye kipengele kilichokukwaza kuna neno WALAU... huenda hilo neno hulielewi maana yake au mtazamo wa kiitikadi umekupofusha uelewa hata ukashindwa kuelewa...!!
Lakini pia, nilitegemea uelewe kuwa hakuna...
Nchi ya Tanzania iliyotokana na muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 mwezi wa Aprili tarehe 26 imetawaliwa au kuongozwa na marais 5 au awamu 5 za urais. Katika awamu zote hizo tumeshuhudia awamu moja tu ya 2 ikiongozwa na mtanzania kutoka Zanzibar, ingawaje hilo si sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.