Jamani tanesco kwani mna shida gani na eneo la mlimani city kwenda chuo kikuku sisi Kila siku hatuna umeme KUANZIA asubuhi mpaka saa 6 usiku kwani hamjui kwamba hili ni eneo la watu wanajitafutia liziki zao tunaomba myupatie utaratibu mzuri wa kukata umeme kwani msikate usku tukiwa na umeme leo...
Hata usipate shida nenda equity bank hawa ndio wamejidhatiti ipasavyo kwenye hiyo nyanja na wanafanya kazi kwa ukaribu na watu wanaitwa pesapal aka PayPal ya kenya .hapa ukipata kadi yako inakuwa tayari inaweza kufanya malipo online .ni wewe kuisajili kadi yako na paypal then utaenda kuchukua...
Nyeto si kitu anahitaji kukutana na watu wanaojua kucheza na k pia wenye pumzi .katika kucheza gemu kila mtu ana sehemu ya raha yake so kabla ya yote explore sehemu amabayo inampa raha .kisha muangalia anahitaji nini wakati wa geme mlizishe kisha rudi kwenye sehemu yake ya raha .anza na wewe...
Hapana sijakutukana ila nimekupa onyo sio vizuri mkuu .na ndio mana kila mtu anamke wake .guy code inasema mke wa mwenzi ni dada yako .ukitaka kujua angalia kesi za ugovi wa kuliwa mke zinavyi isha .ni hatari
Sio vizuri .nafsi zikisha kuwa mbili huwa zina mengi sana ndani yake .halifu katika tendo la ndo vitu vingi hujificha pale ambavyo vinaonekana kwa ulimwengu wa kiroho ndio mana famili yenye amani ni amabayo inashiliki kikamilifu tendo la ndo .kikamirifu .so tusipende kushoboka na wake za watu...
Ujiaandae kuletewa posa na washenga **** siku yako ikifika .chapa mkeo aridhike sio kuchapa walio kusaidia kumlidhisha .pia kumbukeni ukichepuka na mke wa mtu .unakuwa umechepusha nyota yako .pia umekalibisha nuksi zote za uliemchapia mke na mke mwenywe so dawa chapa mkeo aridhike mengine...
Kila MTU ni mjinga na mpumbavu kwa wakati mmoja au kwa wakati tofauti mfano wewe ulie mjibu MTU alie itaji busara kwa jazibar tiali wewe ni mjinga na mpumvu .I me shine a kutumia akili yako kutoa elimu kwa busara .so tutumie busala kujibu wenzetu
Hizi ni habari za kweli sio stori .rupee IPO .Mercury IPO .fufu mark IPO .habari nyingine ngumu ni kuwa the chosen one ..hivi vitu vipo na tunaishahidi sio story
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.