Kujiunga na PayPal lazima uwe na "debit/credit card" inayoruhusu kufanya manunuzi/mauzo mtandaoni. CRDB unajaza fomu kuruhusu "card" yako hiyo.Habar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua bank ipi inayo husika na PayPal nimejaribu crdb lakini sijafanikiwa naomba msaada wenu kwa anaye faham ili jambo
Kujiunga na PayPal lazima uwe na "debit/credit card" inayoruhusu kufanya manunuzi/mauzo mtandaoni. CRDB unajaza fomu kuruhusu "card" yako hiyo.
Njia rahisi sasa hivi ni kusajiri "line" yako ya mpesa ukapata "mastercard" kisha ukaitumia hiyo kufungua "account" yako PayPal.
Hata usipate shida nenda equity bank hawa ndio wamejidhatiti ipasavyo kwenye hiyo nyanja na wanafanya kazi kwa ukaribu na watu wanaitwa pesapal aka PayPal ya kenya .hapa ukipata kadi yako inakuwa tayari inaweza kufanya malipo online .ni wewe kuisajili kadi yako na paypal then utaenda kuchukua bank statement yako utakuta kuba number zopo utaingiza account yako itakua active tayari kwa manunuzi @itexpert-laptopexpertHabar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua bank ipi inayo husika na PayPal nimejaribu crdb lakini sijafanikiwa naomba msaada wenu kwa anaye faham ili jambo
NashukurHata usipate shida nenda equity bank hawa ndio wamejidhatiti ipasavyo kwenye hiyo nyanja na wanafanya kazi kwa ukaribu na watu wanaitwa pesapal aka PayPal ya kenya .hapa ukipata kadi yako inakuwa tayari inaweza kufanya malipo online .ni wewe kuisajili kadi yako na paypal then utaenda kuchukua bank statement yako utakuta kuba number zopo utaingiza account yako itakua active tayari kwa manunuzi @itexpert-laptopexpert
Kuna tofauti kubwa. Kuwa na "credit card" hakukupi tikiti ya moja kwa moja kufanya miamala ya mitandaoni (online purchases) mpaka hapo benki iliyokupa itakapoiruhusu kufanya hivyo. Kwa hapa Tz unapaswa kufanya maombi rasmi kwa kujaza fomu. Ila ya mpesa ni moja kwa moja unaitumia.Kwahiyo kunatofaut kati ya credit card na online purchases
Hata usipate shida nenda equity bank hawa ndio wamejidhatiti ipasavyo kwenye hiyo nyanja na wanafanya kazi kwa ukaribu na watu wanaitwa pesapal aka PayPal ya kenya .hapa ukipata kadi yako inakuwa tayari inaweza kufanya malipo online .ni wewe kuisajili kadi yako na paypal then utaenda kuchukua bank statement yako utakuta kuba number zopo utaingiza account yako itakua active tayari kwa manunuzi @itexpert-laptopexpert
Unaiunga kadi yako na PayPal tu basi unaanza kutumiaSasa hivi equity hauna haja ya kuchukua bank statement yaani ukishafungua tu wanakuunganisha moja kwa moja na unaanza kutumia muda huohuo
Equity bank wala hauitaji kufanya maombi, kadi huwa tayari kwa ajili ya miamala ya mtandaoni pale unapoipata.Kuna tofauti kubwa. Kuwa na "credit card" hakukupi tikiti ya moja kwa moja kufanya miamala ya mitandaoni (online purchases) mpaka hapo benki iliyokupa itakapoiruhusu kufanya hivyo. Kwa hapa Tz unapaswa kufanya maombi rasmi kwa kujaza fomu. Ila ya mpesa ni moja kwa moja unaitumia.
Nenda equity bank pale wapo very fast kwenye hilo.....Habar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua bank ipi inayo husika na PayPal nimejaribu crdb lakini sijafanikiwa naomba msaada wenu kwa anaye faham ili jambo
Crdb wameanzisha hiyo hudumaHabar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua bank ipi inayo husika na PayPal nimejaribu crdb lakini sijafanikiwa naomba msaada wenu kwa anaye faham ili jambo