Recent content by itasso

  1. I

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mwl.RCT.Nashukuru nimepokea mzigo wangu wa simu mbili Xiaomi redmi 5A na Xiaomi redmi 5plus.Ubarikiwe sana Kaka.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    MWL RCT nashukuru nimeupata mzigo wangu salama kabisa.Niliagiza Simu mbili Xiaomi Redmond 5A na Xiaomi redmi 5 plus.Mungu akubari Sana Kaka.
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinipiga mpaka kuniharibu kizazi kisha akaniacha kwasababu siwezi kuzaa

    Pole Sana dada yangu
  4. I

    JamiiForums Tanzania What does your homescreen of smartphone look like?

    Ngoja nigundue kitu hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa Shilingi: Euro moja ni sh.2,535/=. Wazalendo mnatupeleka wapi?

    Tufanye nini kuweza kufanya ili kupanisha thamani ya fedha yetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. I

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa CHADEMA waongezeka maradufu

    Mimi mwenyewe nilikuwa sijawahi kufikiria kuwa mrengo wowote wa chama lakini najikuta navikubali vyama vya upinzani kutokana na madhila ya ukandamizaji wanayofanyiwa na watawala. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. I

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    Hii kitu haifunguki Post sent using JamiiForums mobile app
  8. I

    JamiiForums Tanzania Aliyeimba nitarejea na Diamond sasa amekuwa teja wa gongo

    Vijana inabidi wajifunze kupitia hawa waafhirika kwani vijana wengi wanafuta mkumbo na kuona ulevi ni sifa Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
  9. I

    JamiiForums Tanzania Aliyeimba nitarejea na Diamond sasa amekuwa teja wa gongo

    Pole zake Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
  10. I

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Ngoja nijichange nije kupata kitu Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
  11. I

    JamiiForums Tanzania Simu yangu Tecno L8 haijai haraka, msaada tafadhali

    Nimefurahi Sana kupata haya majibu ya Chief Mkwawa Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
  12. I

    JamiiForums Tanzania Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

    Natafakari kuachana na TECNO kwani sipendi kufananisha na rangi ya kijani
  13. I

    JamiiForums Tanzania Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

    Swissme siyo wote wanayotumia TECNO wamegawiwa na Lumumba bali Lumumba wameangalia simu za bei ya chini ili waje wasumbue humu jf.
Back
Top Bottom