Kwa yule ambae amefariki Kwa kunyongwa na akatelekezwa porini ktk miti mirefu na baadae ndugu mkakuta baadhi tu ya mifupa aijulikani km aliliwa na wanyama au mwili wake umearibika tu huyu roho yake inaenda wapi kuwa pepo la wapi.
Iyo mbili mkuu imenigusa,maana wangu ana miaka miwili anajifunza kuongea siku moja nimetoka kuoga kenyewe kalikuwa kamelala, ghafla akaamka nakusema kako iyo,kako iyo,akimaanisha tako,yaani watoto wetu Hawa Kwa kweli tufanye kazi kuwasimamia ktk ukuaji na malezi yao.
Kila mmoja anatetea upande wake, ingekuwa wameandamana ccm hata bila kibali yangekuwa ya halali ila kwakuwa chama pinzani naona baba jeska akawatuma mkamshuti mbowe Kwa haraka na pupa zenu mkasababisha yaliyotokea,hivi mngewaacha tu waende uko waendako kingealibika nini?na ni wapumbavu wa fisiem...
[emoji23] [emoji23] kumbe aliruhusiwa kutugonga,ila uwa achagui mahali pa kung'ata popote utakapomkalia vibaya anakutenda si unaona huyo kamgonga kidoleni.
Kabisa,mwenyewe Nina miaka hiyoiyo na bab yangu simjui,sijawai muona ila simtafuti,maana sasa nimeshakuwa mamayangu ameshaangaika vya kutosha kunilea kunitunza Leo hii nianze kumsumbua tena eti baba yuko wapi!?km huyo baba anakupenda nae si angekutafuta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.