Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
me piaNilichoweza kuelewa ni title ya thread tu, huko kwingine nimeshindwa kabisa ku link hadithi yako.
Ulichapa lapa! Namimi nachapa lapa langu kama ifwatavyo.....
me piaNilichoweza kuelewa ni title ya thread tu, huko kwingine nimeshindwa kabisa ku link hadithi yako.
Ulichapa lapa! Namimi nachapa lapa langu kama ifwatavyo.....
Au kama ya mama mugabe(magreti)Sijaelewa kbs au hii PHD yang ni fake nn?
Mbona inaeleweka kabisa, ni hivi Mwanamke huyo aliyekutana nae anataka kuwa na vyeti tofauti yaani zaidi ya kimoja, vyenye majina tofauti ya BABA. Ishu kubwa ni vyeti na majina ya baba tofauti, yaani anaenda kwa baba huyu anamwambia wewe ndio baba yake, anaenda kwa mwingine anamwambia wewe ndio baba yake kama unabisha cheti hiki hapa.Sijaelewa kbs au hii PHD yang ni fake nn?
Mbona wewe nimekuelewa mkuuMbona inaeleweka kabisa, ni hivi Mwanamke huyo aliyekutana nae anataka kuwa na vyeti tofauti vya mtoto vyenye majina tofauti ya BABA. Ishu kubwa ni vyeti na majina ya baba tofauti, yaani anaenda kwa baba huyu anamwambia wewe ndio baba yake, anaenda kwa mwingine anamwambia wewe ndio baba yake kama unabisha cheti hiki hapa.
Onyo lake ktk kichwa cha habari ninkwa wanaume, tusikurupuke kuwa ndio baba wa mtoto kisa umeonyeshwa cheti chenye jina lako.
Hao wapo wengi sana,wengine wanataka kubadilisha majina na wanakataliwa,uzuri Rita wako vzr sana,yaani majina uliyoandika ktk tangazo lako siku unajifungua na ukasaini basis ujue hayatobadilishwa kamwe,yaani wananyooshwa kweli wanawake wenye nia ovu.Basi katika fatilia cheti cha kuzaliwa cha mwanangu nilichokiona kilinistua sana mpaka nikaamua Fanya uchunguzi usio rasmi katika ofisi za Rita mbeya.
Nikiwa nasubiliankukabidhiwa cheti change,ghafla anaingia Dada mmoja akiwa kabeba mtoto asiezidi hata Mwaka,
Anauliza taratibu za kupata cheti cha mwanae,anaelekezwa kuwa cheti cha kichanga hicho ni bure aende kwenye hospital au kituo chochote cha wazazi atapewa ila abebe na kadi za kliniki za mtoto.
Anapumua kwa nguvu kisha anasema aisee naomba tu nisaidie unipatie.anakataliwa kisha anatoka nje nikiwa natoka nikamkuta nje,akaanza kuniuliza maswali ambayo yakafanya nimbaini kuwa alikuwa na nia ovu.
Nilichogundua toka kwa Dada yule ni kuwa mwanae ana baba zaidi ya mmoja.na pale kuna baba alishaona Nina la kichanga na sasa anatafutiwa baba mwingine nae cheti.nilimuuliza una kadi ya kliniki akasema hana.hospital kadi hawakukupa jibu nimepoteza
Kengele ya hatari ikalia nikambana zaidi akafunguka kwa kuwa nilimuaid kumsaidia ili aniambie ukweli.baada ya kumbain nikamwambia nikujute hapo kisha nikachapa raba