Recent content by itakiamo

  1. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu rahisi kuopoa manzi kama Zanzibar

    Mimi. Mwenywe zamani nilisota, ila kwa Sasa nateleza tu, kikubwa uwe na usafiri hasa pikipiki ili usiache alama hasa in term of time maana wanabanwa sana
  2. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Aliyewatenganisha Lissa fickenscher na mabeste Aoa!!!

    Walikuwa label moja
  3. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Najua wengi watakosea hapa. Mbwa huyu ana urefu wa Sentimita gapi?

    Y+200+Y=300 Then Y= 50 Mbwa ana urefu wa 50 cm Jibu Nini C
  4. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumwaga raundi ya pili

    Kapime kisukari
  5. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni sehemu zipi wanauza potassium

    Asante boss
  6. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni sehemu zipi wanauza potassium

    Nipo kisiwa cha unguja Bado sijapata direction, ni sehemu gani hapa naweza nunua potassium, please isiwe shamba, naombeni maelekezo hususani hapa mjini magharibi
  7. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Watu walio karibu na Diva wampatie usikivu, ushauri na msaada wa kihisia

    Anazidi kuharibu huyu Dada , waliopo karibu nae wamsaidie
  8. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Watu walio karibu na Diva wampatie usikivu, ushauri na msaada wa kihisia

    Kama kuna mtu au watu waliopo karibu na Diva The Boss, ningeshauri wawe karibu naye zaidi katika kipindi hiki na wampatie usikivu, ushauri na msaada wa kihisia. Kutokana na baadhi ya viashiria vinavyoonekana hadharani, kuna dalili zinazoweza kuashiria kuwa anapitia changamoto kubwa za kihisia...
  9. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Teknolojia haiwezi kuzuilika, tunakoelekea kutakuwa na simu zinazotumia internet ya satelaiti hata internet ya minara ya mitandao ya simu ikizimwa

    mbona zipo sana tena tangu miaka ya tisini, zinatumika sana na hawa drug cartels
  10. itakiamo

    JamiiForums Tanzania MAC Pharmacy ni nani?

    Asante
  11. itakiamo

    JamiiForums Tanzania MAC Pharmacy ni nani?

    MAC Pharmacy ni nani? Kwa hapa Dar es salaam Kila Kona utakutana na hizi pharmacy zimeandikwa MAC Pharmacy, ana cheo chochote MSD?
  12. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Je, Pikipiki za Umeme (EV) ndio Mkombozi wa Kudumu dhidi ya Kupanda kwa Bei ya Mafuta Tanzania?

    Hii pikipiki nilipanda kama abiria kile kipindi Cha maandamano 29 October Hadi November 2, nilikuwa nauguza , kipindi Hilo bodaboda walipandisha sana Bei lakini huyo jamaa alikuwa ananifanyia kwa nauli ambayo ipo fair, Ina nguvu kama bodaboda nyingine ila utaigundua ipo tofauti kwasababu ya sauti
  13. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    unataka kutuma Yuan ngapi, muombe supplier Alipaycode au WeChat pay code
  14. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wasanii wetu nyuma ya pazia

    inawezekana aisee
Back
Top Bottom