Recent content by issongo s issogo

  1. I

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo hufanana na dalili za magonjwa ya moyo

    Kweli jf ni kisima cha maarifa.Nafarijika sana na member wenye kujali utu wa wenzi wao Sent using Jamii Forums mobile app
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kiafrika kupiga magoti wakati wa kumvisha pete ya uchumba mpenzi wako

    Mwanaume ni kichwa ktk familia na ndo kiongozi sasa utampigiaje magoti kiumbe alotoka ubavuni mwako?Hapo wanaume tunakosea sana.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

    Huo ni uongo bibi fisi hakufa kwa kukatwa mapanga.Huyo bibi alikutwa amekufa na mwili wake haukuwa na majeraha yoyote.Miye nilishuhudia kwa macho yangu sikuhadithiwa mkuu
  4. I

    JamiiForums Tanzania Jana kwa mara ya kwanza nimempiga makofi mke wangu ila roho inaniuma

    Unachelea kurejea anakataa kufungua unalala kibarazani.kweli wewe bwege mtozeni huna hadhi ya kuitwa mwanaume
  5. I

    JamiiForums Tanzania Daktari feki anaswa Sekou Toure

    Ww unasema mikoani wakati hata mhimbili wamekamatwa mara kibao
  6. I

    JamiiForums Tanzania Chemba, Dodoma: Nyoka na Kenge zaidi ya 50 na pimbi 300 waondolewa eneo la Ikulu ya Chamwino

    Dah hata miye ngachoka.Hifadhi swagaswaga mhifadhi choyachoya ni hatari
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kauli Hii ya Zitto Wapinzani Wote Waitafakari

    Siasa za awamu hii ni majanga.Nasari huko Arumeru walinunua greda lkn mkurugenzi na mkuu wa mkoa walichofanya Mungu ndo anajua
  8. I

    JamiiForums Tanzania NEC: Uchaguzi mdogo Singida Kaskazini, Longido na Songea Mjini kufanyika Januari 13, 2018. Je, Kitila kumrithi Nyalandu?

    Hapo hakuna kupita mpinzani hata ukipata kura zote hutangazwi au zitaongezwa zingine Mara tatu zaidi uonekane umeshindwa.Fikiria uchaguzi wa madiwani Kuna vituo vilikuwa na wapiga kura 104 lkn mgombea wa ccm anapata kura 350.Akili mukichwa
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mosses machali uko wapi kaka angu

    Kakatwa mkia hawezi tena kusavive
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Dodoma apiga marufuku kuzungumzia ukame

    Kweli awamu hii tutaona mengi.
Back
Top Bottom