salome peter
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 379
- 271
Hawa watu wameanza miaka hii ya elf 2 na...zamani haikuwepo
Ila pia wanapoingia hawafanyi kazi yoyote wanababaika tu ndio maana inakuwa rahisi kuwatambua huwa wanawadanganya wagonjwa wawape pesa wataenda kuwaharakushia huduma na ili mgonjwa amuamini ataongozana nae hadi huko na si rahisi mtu ambae hajasomea hii fani kudhubutu kuona mtu anavyochanwa hivyo hawaingii ndani kwenye chumba cha upasuaji huishia kwenye chumba cha maandalizi tu
Na pia wengine ni wagonjwa tu kiakili wanajikuta kwenda huko kwa akili zao pungufu kuwatuma