Angalizo: Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo hufanana na dalili za magonjwa ya moyo

Mm pia ninatatizo la kifua kinauma mpk upande wa mgongoni,nimeshapima moyo Mara mbili majibu yako vizuri.nimepimwa h.pyrol Mara 4kipimo kimoja ndio kiluandika positive lkn vitatu vikaandika negative.

Pia ninashida ya ganzi ktk vidole vya miguu.nimekunywa sana dawa za hospital nakaribia miaka miwili wananiambia utakuwa mishipa Mara madonda ya tumbo maana utrasound nikipigwa iko vizuri.badae wakasema utakuwa oparation 3 za uzazi nikizofanyiwa.

Sasa ndio nimeanzisha kubanwa kifua kunamuda chini ya maziwa km kunawaka Moto siwezi kunywa soda tumbo linajaa hlf najamba sana mpk najishangaa. Nimezunguka mahosptal na Sina bima mpk nimemkabidhi Mungu tu
 
LICHADI, Samahani mkuu najua hii post ni ya muda kidogo ila Mimi kwenye Hii forum ni mgeni.. baada ya kusoma naona imenigusa naomba kujua tu baada ya wewe kuwa unatumia hiyo baking powder kuna effect gani ambazo zilikua zinaonyesha kuwa dawa inafanya kazi, labda kwa siku ya kwanza na ya pili
 
Acha kuangaika wakuu tibu vidonda vya tumbo kwa dawa ndogo inayopatikana kila sehemu nimeugua madonda hayo miaka mitatu,ila majani ya mparachichi wiki nilipona chukua jani moja tu asubuhi lisafishe vizuri tafuna mpaka lisagike na kutengeneza juice meza, fanya ivo angalau mara tatu tu kwa siku, najua kabla ya wiki watu mtanitafuta pm nakushukuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baking soda maana yake ni amira kwa huku mtaani. Mimi sikuwahi kutumia hiyo, bali nilihangaika na dawa za hospital bila kupata nafuu, nikaanza kutumia dawa za kienyeji, zinaitwa athaum na nyingine jina limenitoka, na kupunguza stress, hali ikawa njema. Hizi dawa unazipata sana sana maduka yaliyopo misikitini, kwa maustadhi

Baking soda sio amira, ni magadi soda
 
Nina tatizo linafanana na hili vipimo vyote vya moyo nimefanya hakuna tatizo. Tutajie hospital mkuu.

not but pray.
 
Huyo ni doctor haswaaaaaa,Mimi nimeteswa na MADR HAWA vijana mpaka basi,nimekunywa dawa mpaka basi kudadek YANI VIPIMO VYA MOYO NIMEPIMA ZAID YA MARA10 NOTHING ,MWISHO NAKUJA KUJUA NI ACID/VIDONDA VYA TUMBO.MZEEE SASA NIAMBIE HYO TIBA INAKUAJE SASA MAANA HAYA MA ANTI ACID NAONA YANANITESA TU SANAAA
Nyie watu nyieeeee, juzi tu mimi nimetoka hospitali kumuona cardiologist, nimefanya ultrasound ya moyo, EKG na Echo kwa ajili ya haya haya ma vidonda ya tumbo, nilipata maumivu makali kifuani na kupata shida ya kupumua, nikaenda local dispensary nikaambiwa ni angina au symptoms za heart attack....

Nilipanic nyie.... lol, kwenda kwa cardiologists naambiwa sina tatizo lolote, vipimo viko safi kabisa, Akanambia hivyo ni vidonda vya tumbo.... Nimepewa dawa mzigo hapa, nahisi nafuu kiasi but nikila tu nahisi vichomi tumboni.
 
Nyie watu nyieeeee, juzi tu mimi nimetoka hospitali kumuona cardiologist, nimefanya ultrasound ya moyo, EKG na Echo kwa ajili ya haya haya ma vidonda ya tumbo, nilipata maumivu makali kifuani na kupata shida ya kupumua, nikaenda local dispensary nikaambiwa ni angina au symptoms za heart attack..
vipi ulipona mkuu
 
Back
Top Bottom