Msaada jamani nahitaj kuagiza Kifaa flan hv kidogo kutoka China ila kuna mtu alinambia lazima niwe na S.L.P yangu ili mzigo wangu ufike hapo. Sasa mimi sina hiyo S.L.P na nahitaj kuagiza. Je, mzigo wangu ntaupata vip? Msaada wana JF
jaman nmerud tena naomba kujua jambo Nina dell desktop i5 3570 sasa kuna jmaa ana processor ya I7 6700 sasa kama ntaiweka nikatoa yngu hyo ndogo itafnya kaz msaada plz
Jamn nataka msaada hpa nina dell I5 3570 nataka kujua kama itacheza game kubwa kama gta v na nyingine kibao sasa sijajua n graphics gn ya ukubwa gan inafaa msaada plz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.