Okay!!!
Kama alikuwa na vigezo vya kusom hyo koz & Kama alipat credit poa kwahyo certificate nivyema2 afanye hvoo!!!!
Labda Kam aliingi@ kiujanja ujanja broo Mambo yatakuwa magumu upandewake!!!!!
But inatakiwa afanye Mambo kwa uharisia na uhakika Kama yalivyo
Nd
Ndio mkuu lkn mm mfano nambanliyo tumia ku fanya application mwaka Jana ,,
Ni X...
Sasa nkirudia somo moja itakiwaje Sasa nitatumia namba ipi itakayo onyesh kwamb physics nmesha creal coz hyo no X inanyesha physics F....
But nkirudia lazm nitatumia no Y mfano je? Hapo baada yaresult kwa Hilo...
Yas!!!
Sasa hapo ntakutumia namba IP!?
Au zote na ile nliyorudia somo coz nkitumia results la mala ya kwanz physics itakuwepo bado kibendera kmesimaa hapo inakuaje chief
Sasa mkubwa mfano mm nna C ya Chemistry, Biology , English &Kiswahili
Na D za mathematics, geography,civcs na history
Ndo nahyoo F ya physics
Na hapa nimemalz certificate ya community health Sasa
Nipo nafany hvoo ili nicheck coz nyngne ya afya kwasbab Dploma kwa coz ya afta wanatak uwe na D ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.