Tetesi: Usaidiz tafathal!!!!!!

Tetesi: Usaidiz tafathal!!!!!!

issadeus269

Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
24
Reaction score
4
Habar za mdahuu wakubwa,,,
nnaomba kuereweshwa vizuri utaratibu wa kurudia mtihan wa kidato Cha nne ni lazma kurudia masomo yote!??
au unaweza rudia hata somo moja!???
​
 
Wewe ndio umemaliza kidato cha nne? Maana unavyoandika hadi raha, OK tafuta Center maeneo yako watakupa majibu ya Maswali yako.
 
Back
Top Bottom