Recent content by Issaboy255

  1. Issaboy255

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu kozi ya communication studies

    Asante kwa ushauri
  2. Issaboy255

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu kozi ya communication studies

    Ahsante vp kuhusu ajira zake mkuu?
  3. Issaboy255

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu kozi ya communication studies

    Habari wana JF, Naomba msaada kuhusu kozi ya BA in Communication studies soko lake, ajira zake n.k
  4. Issaboy255

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya Ualimu

    TAtizo mnasoma habari kwa juu juu itafute interview nzima ndoutaelewa alichokuwa anamaanisha simtetei lakini kwa fact alizotoa yuko sahihi zama youtube itafute utaelewa
  5. Issaboy255

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Michezo ya kubatisha: Ni kweli wanaocheza kamali ya MchongoPesa wanapata pesa?

    ukiona umeitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa.
  6. Issaboy255

    JamiiForums Tanzania Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

    Now days zama zimebadilika yaan saiv bila connection kutoboa ni ngumu labda bahati iwe upande wako cha muhimu nikutokukata tamaa na pia kujaribu vitu mbalimbali mfano unaweza kuwa na taalum maybe ya ualimu bt hupat nafasi jaribu kitu kingine ufugaji kilimo nk kuna dhana nyingi siku hizi wahitimu...
  7. Issaboy255

    JamiiForums Tanzania Unaibiwa kila siku bila kujua, umejichanganya

    kuna haja serikali kuwekeza kwenye afya maana matatizo ya afya ya akli yanazid kushamiri
  8. Issaboy255

    JamiiForums Tanzania Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

    huyu kaletwa kwa mkakati maalum kufuta uvumi wote wa bandari kiukweli CCM imefanikiwa maana siku hizi zile kelele za bandari zimepotea kabisa
  9. Issaboy255

    JamiiForums Tanzania Kutumia Internet bundles sasa imekuwa anasa

    tupe chaka nasie tuenjoy🙈
  10. Issaboy255

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupo nyuma ya wakati

    Ubarikiwe sana uzi mzuri sana🙏
  11. Issaboy255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hatimae leo nmeacha rasmi betting nawatakia kila la kheri wanakamali ..
  12. Issaboy255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    685501B BP jaribun tumuumze kanji
  13. Issaboy255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hawez chomoa labda aogezwe
  14. Issaboy255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Arsenal haujui😂😂😂😂 duuh yaan mkeka umetembea wik nzima unaluja kuuliwa na Arsenal tena double chance😞😞😞
  15. Issaboy255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    CF1ED86 bp odds 7 za uhakika leo kaz kwenu
Back
Top Bottom