Recent content by Issa0716

  1. Issa0716

    JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kula mishkaki ya mia mia, Morogoro basi uliwahi kula mbwa, jamaa wamekamatwa huko

    Kama haidhuru wacheni tuendelee😂😂😂😂😂
  2. Issa0716

    JamiiForums Tanzania TCRA yatolea ufafanuzi sheria ya umiliki wa laini moja iliyoanza kutumika leo

    Mimi naona mauzauza tu, alama ya vidole imemaliza kilakitu hapo niliwaunga mkono lakini hii ya line 1 kiukweli wamekurupuka inabd wafkrie tena
  3. Issa0716

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua mumewe kwa nyundo ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Wivu wa mapenzi na ukijumuisha hasira, lazima utafeli
  4. Issa0716

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kumuua mtoto wake na kumzika

    Pengine alifanya ngono zembe na wanaume wengi na pengine anajulikana kuwa hana mwanaume mmoja unafikiri mwanamume gani atakubali kulea mimba ihaliyakuwa anajuwa hayukopekeyake, nimtazamotu. Lakini wamama wawewazi hata kuomba msaada kwani binadamu sio wote wanaroho ngumu kunamwengne wanahuruma...
  5. Issa0716

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha sheria ya afya ya mimea. Faini ya milioni 500 kutolewa kwa watakaoikiuka

    Kweli elimu haina mwisho nimesoma mara4 lakini mwisho nimeamua kuja kwenye comment pia wenzangunao wanasema hawajaelewa dah. Sio shida aliyeandika atueleweshe tuelewe
  6. Issa0716

    JamiiForums Tanzania Arumeru: Kijana amuua mama yake mzazi kwa shoka na kunywa damu yake

    Inaskitishasana
  7. Issa0716

    JamiiForums Tanzania Obama aanza kumlaumu Trump kwa kushindwa kulikabili janga la Corona. Asema Trump anaishughulikia Corona kama janga la machafuko

    Habari ni nzito corona kiboko wallah Mungu tunusuru
  8. Issa0716

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mama mbaroni kwa kuwatelekeza watoto kwenye majaruba ya mpunga usiku

    Hii habari imenugusa sana unaanzaje kutelejeza watoto wadogo kiasi hicho mh
  9. Issa0716

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kwanza ya ubakaji ndani ya ndoa

    Wallah😂
  10. Issa0716

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Iran na Marekani: Baadhi ya Mataifa yaanza kuondoa Majeshi yake nchini Iraq

    Haya mambo nimakubwa sasa. Watuwengi watapeteza malizao roho zao bila hatiya mungu yehova asaidie kwakweli trump hana nianzuri
  11. Issa0716

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege nyingine 3 kuwasili mwakani. Wahudumu wa ATCL wana ‘shape’ nzuri

    Tununulie na baiskel wananch wako
  12. Issa0716

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Man arrested for blocking Uhuru’s motorcade to beg for a job

    Anahaki yakufanya ivo inabid wamsilikize wampatie fursa yukosahihi
Back
Top Bottom