Mgogoro wa Iran na Marekani: Baadhi ya Mataifa yaanza kuondoa Majeshi yake nchini Iraq

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,402
Kaimu Naibu Waziri Mkuu wa Uhispania, Carmen Calvo amesema nchi yake imeanza kuondoa baadhi ya Wanajeshi wake huko Iraq kutokana na sababu za kiusalama.

Amesema Wanajeshi waliokuwa katika maeneo hatarishi zaidi wameondolewa na watapelekwa nchini Kuwait na kwamba idadi ndogo sana inabaki Iraq.

Aidha, Mkuu wa Ulinzi wa Wafanyakazi wa Canada, Jen. Jonathan Vance amesema baadhi ya Wanajeshi wa nchi yake waliopo Iraq watapelekwa Kuwait kwa muda.

Canada ina takriban Wanajeshi 500 nchini Iraq na Jen. Vance ametoa tangazo hilo kupitia barua zilizotumwa kwa familia za Wanajeshi hao.

Uamuzi huo unakuja baada ya NATO kutangaza kuondoa baadhi ya Wanajeshi wake wanaotoa mafunzo kwa Majeshi ya Iraq ya namna ya kupambana na Dola Ya Kiislamu. Ujerumani na nchi nyingine pia zinaelezwa kuanza kuondoa baaadhi ya Wanajeshi.

********

Spain says it has withdrawn some of its troops from Iraq

Spain has pulled out some of its troops from Iraq due to security concerns, acting Deputy Prime Minister Carmen Calvo said.

"Those who were in riskier positions have left for Kuwait," Calvo told state broadcaster RTVE. "There is only a reduced number left there."

The decision comes as NATO announced it would move some of its military training personnel out of Iraq amid fears of a regional conflagration.


2.jpg


Canada’s military temporarily relocating some troops from Iraq to Kuwait

Chief of the defence staff Gen. Jonathan Vance says the Canadian military is temporarily relocating some soldiers from Iraq to Kuwait.

The move, which Vance announced in a letter to the families of Canadian soldiers in Iraq and the surrounding region that was posted to Twitter on Tuesday, follows the lead of Germany and several other allies who have withdrawn some of their troops.

Western troops in Iraq have been on high alert since the weekend killing of a top Iranian military general by a U.S. drone.


1.jpg

Iranian Maj.-Gen. Qassem Soleimani’s death has raised fears of Iranian reprisals while Iraq’s parliament and outgoing prime minister have called for the forced withdrawal of all western troops from the country.

Vance says the decision to withdraw an unspecified number of troops was made alongside NATO and Canada’s allies to ensure their safety and security.

Canada has about 500 soldiers in Iraq, most of whom are there to help train local forces to fight the Islamic State of Iraq and the Levant.
 
Haya mambo nimakubwa sasa. Watuwengi watapeteza malizao roho zao bila hatiya mungu yehova asaidie kwakweli trump hana nianzuri
 
sasa hivi hakuna mmarekani alie salama dunia nzima ,ndio ujue trump na kundi lake wamefanya a big strategic mistake
 
Back
Top Bottom