Man arrested for blocking Uhuru’s motorcade to beg for a job

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
A man was on Tuesday arrested after he reportedly blocked President Uhuru Kenyatta’s motorcade along State House road to beg for a job.

According to a police, the motorcade was headed towards State House from the Kenyatta International Conference Centre (KICC) where the Head of State had attended the 9th African Caribbean and Pacific Summit of Heads of State and Government.

The suspect, identified as Uvinalies Nyabuto, obstructed the convoy while displaying a placard bearing the words, “YOUR EXCELLENCY KINDLY OFFER A CHANCE TO JOIN THE DEFENCE FORCES AM SORRY FOR DISRESPECT YOUR SECURITY. PLEASE MR PRESIDENT. NYABUTO.”

The man was immediately arrested by the Presidential Escort Unit who then confiscated the placard.

He was later transferred to Kilimani Police Station where he was detained.
*****


Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Uvinalies Nyabuto amekamatwa leo kwa kuusimamisha msafara wa magari wa Rais Uhuru Kenyatta katika barabara ya kuelekea Ikulu

Kwa mujibu wa Polisi, msafara huo ulikuwa unaelekea Ikulu ukitokea Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta (KICC) ambapo Rais Kenyatta alitoka kwenye mkutano wa 9 wa Wakuu wa Nchi za Caribbean na Pacific

Nyabuto alisimamisha msafara akiwa ameshika bango lililoandikwa “Mheshimiwa, Tafadhali naomba nafasi ya kujiunga na Majeshi ya Ulinzi. Nisamehe kwa kutoheshimu Ulinzi wako. Samahani Rais. Nyabuto.”

Mara moja alikamatwa na Walinzi walio kwenye msafara wa Rais na baadaye alipelekwa katika Kituo cha Polisi Kilimani ambapo aliendelea kushikiliwa
 
Blocking any presidents motorcade is a huge security risk and it has the potential to cost tax payers billions! Not to be condoned whatsoever
 
Back
Top Bottom