Recent content by Israel Mwalukasa

  1. I

    Kova: Jerry Muro kuchunguzwa kwa hate crimes dhidi ALBINO. Ashangazwa na kimya cha DRFA na TFF

    Kuwahusisha viongozi wa vyama vya soka yaani DRFA na TFF kwa kuona eti wanatoka mikoa wanayouawa albino lina tofauti gani na kauli za Jerry Muro?
  2. I

    Mawaziri wateule wasio na vyama

    Wengine wanapatikana kwa kuwashawishi
  3. I

    Hamisi Kigwangalla ni-tayari kwa mdahalo na mtu yeyote yule!

    Jamani, huyo naamini si Kigwangala halisi
  4. I

    Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

    Kwa nijuavyo, hata mwandishi wa makala hii anasaka fursa. Hata wanasiasa hao wote wametokea ccm ili kusaka fursa na waliobaki ni kwamba fursa zimekubali Lakini pia nina swali dogo tu, inawezekana vipi mtu asiye na cv nzuri akawaendesha vichwa kama akina Lipumba, Zitto, Membe, Mwakyembe...
  5. I

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Kwa maoni yangu naona kubebana kwa alama za ajabu ajabu itakuwa mwisho. Maana products za elimu kwa kipindi hiki hazitabiliki Kwa Ndalichako inawezekana akavuta na kuikaza kamba kama zamani.
  6. I

    Urekebishaji ADA kwa shule za Private Serikali ifanye kwa umakini mkubwa

    Kusimamia maelekezo ilikuwa rahisi sana, waliobadilisha taratibu ni wanasiasa haohao waliojiingiza huko ili wapige npunga.
  7. I

    TFF yaongea.....

    Jamani, mtatuua kwa kucheka wenzenu mbavu changa......
  8. I

    Mkapa aambulia aibu Mbeya, mkutano wadoda pamoja na kuleta watu kutoka Mbalizi

    Ndugu yangu, kama ww unakubaliana na upumbavu na ulofa basi sawa. Ila Mimi baba yangu wala mama yangu hakuwahi kutoa kauli kama hizi. Zaidi huenda ningekubaliana na mzazi wangu kama angeniambia hivyo kuliko huyo, maana ningesema nilikuwa mtoto. Lakini mzee huyu kamsema mpigaa kura maana hakuna...
  9. I

    Tume ya Uchaguzi na UKAWA, kama nchi hii ikiingia kwenye machafuko nyinyi ndio chanzo

    Mimi Nina mashaka na suala la ukunjaji wa karatasi huenda kura zimeibika miaka iliyopita, maana upinzani umepata watu wengi na muhimu toka chama tawala. Na hii inawezekana ndo wametoa siri hii. Tusibeze hili
  10. I

    Wanajeshi watanda wilaya ya Tandahimba Mtwara

    Hata ingekuwa kwetu ningepata hofu maana hasa kwa majira haya tuliyonayo. Vita inasaga wallomo na wasiokuwemo.
  11. I

    GE2015 Magufuli anatukwepa - BBC Swahili

    Hahahaaaaaa! Unajua kuwa ni bondia lakini?
  12. I

    Kwanini CHADEMA/ UKAWA itashinda uchaguzi huu kesho 25/10/2015?

    Hizi ndo zinahifadhiwa wapi baada ya zoezi kukamilika?
  13. I

    Uchaguzi uwe wa amani, huru na haki. Hongera IGP, RC Arusha awe makini

    Kuna haja viongozi wetu waandae cha kufanya baada ya kufanya upembuzi yakinifu. Kila siasa na chama wana bendera na mabango.
Back
Top Bottom