Wanajeshi watanda wilaya ya Tandahimba Mtwara

Sasa mwananchi unaogopa faru, huo c ushamba wa kitoto wa kusikia sauti ya gari na kukimbia?

Usiwapangie wanajeshi ratiba
 
Yakiwa yamebaki masaa tu kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini mwetu, wananchi wa wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara wameanza kuingiwa hofu na wengine wakiamua kuyakimbia makazi yao na kuhamia nchi ya jirani ya Msumbiji baada ya wanajeshi na magari yao ya kijeshi kutanda katika wilaya hiyo.

Hili suala limeibua maswali na woga mwingi sana miongoni mwa wananchi wa wilaya hiyo wengine wakihoji mbona chaguzi kadhaa zimepita haijawahi kutokea hali hiyo? Alipoulizwa mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendegu amesema wapo pale kuimarisha amani.

Kwa upande mwingne mbunge anayegombea jimbo hilo amesema amepewa rushwa ya shiling milion 160 ila amekataa na sasa anapata vitisho kila muda.

Chanzo: Azam Two (Habari).

CDF kwani hajagomea jeshi kutumika kwenye uchaguzi? Teh teh teh
 
Mbona mnawatengenezea hofu wananchi? Na kuna uwezekano hata hivyo vifaru havijazagaa, lakini mnaeneza uvumi ili wananchi wasiende kupiga kura na kulinda kura zao!

Mnachoshindwa kuleewa ni jambo moja, vijana wengi ndio wenye mwamko wa mageuzi kuliko wazee, na kina mama! Sasa hivyo vitisho vyenu, mtafanya mzidi kukosa na kura zao, maana hawatajiona wako safe!
 
Jamani watanzania wenzangu vifaru vya nini Mtwara? Hali ni mbaya kiasi hicho, katika hali ya kushtua wana Mtwara tumeona jeshi la wananchi kupita mitaani na vifaa vya kivita, sasa najiuliza tunaenda vitani? Au tunaenda kupiga kura ?
Watu wameshakuwa na hofu ya amani, huku mna tuhubiria amani..

mkuu kura ni vita wewe unafikiri babu zako wakati wanamwondoa mkoloni ilikuwa rahisi kama kumfukuza ndege alaye mtama?? shambani?? damu zilimwagika sanaaa.

ndio hii sasa kumtoa ccm madarakani nikama vita tutapigwa sana mabom
 
Anayemuogopa mlinzi wake wa nyumba huyu atakuwa akili yake haipo sawa.viva jwtz kuimarisha ulinzi tz maana polisi ni wachache mno.wewe mtz kapige kura hao jwtz na polisi ni walinzi wako tu acha hofu.
 
hao raia wa huko wanataka kutuchafua kwa kujifanya wakimbizi.viva jwtz
 
Yakiwa yamebaki masaa tu kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini mwetu, wananchi wa wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara wameanza kuingiwa hofu na wengine wakiamua kuyakimbia makazi yao na kuhamia nchi ya jirani ya Msumbiji baada ya wanajeshi na magari yao ya kijeshi kutanda katika wilaya hiyo.

Hili suala limeibua maswali na woga mwingi sana miongoni mwa wananchi wa wilaya hiyo wengine wakihoji mbona chaguzi kadhaa zimepita haijawahi kutokea hali hiyo? Alipoulizwa mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendegu amesema wapo pale kuimarisha amani.

Kwa upande mwingne mbunge anayegombea jimbo hilo amesema amepewa rushwa ya shiling milion 160 ila amekataa na sasa anapata vitisho kila muda.

Chanzo: Azam Two (Habari).

Hao mbona Siku zote wapo tu hofu ya nini pigs kura yako mdogomdogo mpaka unapojificha lala subiri matokeo ndio tutafahamu wamefata nini hapo sins tabu na MTU napiga kura yangu najipumzikia nyumbani kiss cha kupata kilema wanufaike wengine
 
Jamani watanzania wenzangu vifaru vya nini Mtwara? Hali ni mbaya kiasi hicho, katika hali ya kushtua wana Mtwara tumeona jeshi la wananchi kupita mitaani na vifaa vya kivita, sasa najiuliza tunaenda vitani? Au tunaenda kupiga kura ?
Watu wameshakuwa na hofu ya amani, huku mna tuhubiria amani..

lazima tahadhari ichukuliwe,,hujiulizi kwanini mtwara na si arusha?...

kwasababu ya resource,,vita vyote hapa duniani huletwa kwasababu ta kupigania rasilimali...
ona kule iraq,waasi wameteka baadhi ya visima vya mafuta na wanachimba,wanauza na kupata pesa za kuendeleza vita...
sasa hao wanajeshi usikute wako pale kulinda rasilimali za taifa kwani katika hali hii ya uchaguzi lolote linaweza kutokea
 
Mtwara kuna investments kubwa sana hivyo lazima palindwe na jeshi msije mkaharibu kiwanda cha dangote na mitambo.ya gas.msikimbie bakini mmpe mzee wetu lowasa kura za kutosha
 
Ushauri wangu kwa wanatandahimba pigeni kura rudini nyumbani,chaguo la wananchi ni NDUGU KATANI.
 
Yakiwa yamebaki masaa tu kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini mwetu, wananchi wa wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara wameanza kuingiwa hofu na wengine wakiamua kuyakimbia makazi yao na kuhamia nchi ya jirani ya Msumbiji baada ya wanajeshi na magari yao ya kijeshi kutanda katika wilaya hiyo.

Hili suala limeibua maswali na woga mwingi sana miongoni mwa wananchi wa wilaya hiyo wengine wakihoji mbona chaguzi kadhaa zimepita haijawahi kutokea hali hiyo? Alipoulizwa mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendegu amesema wapo pale kuimarisha amani.

Kwa upande mwingne mbunge anayegombea jimbo hilo amesema amepewa rushwa ya shiling milion 160 ila amekataa na sasa anapata vitisho kila muda.

Chanzo: Azam Two (Habari).

Huu ushabiki wa kijinga. Ni wapi wametanda na ni nini wanafanya? Wameingia mitaani au wanaendelea na shughuli zao? Ni lini Jeshi likaingia mitaani kabla ya polisi kushindwa? Mbona mnawafanya watu majuha wa sheria za nchi? Jeshi huitwa kusaidia mamlaka za kiraia kwa utatatibu mrefu na si hivyo mnavyoaminisha watu. Hata kama watakuwepo wanajeshi, ni lini wamekulazimisha ukapige kura kumchagua mtu wanayempenda!? Je, hao wanajeshi wapo vituo vya kupigia kura ama wanapita barabarani na magari yao. Hebu tuache kushabikia tusiyoyajua na kujifanya mawakala wa kushangilia vurugu.
 
lazima tahadhari ichukuliwe,,hujiulizi kwanini mtwara na si arusha?...

kwasababu ya resource,,vita vyote hapa duniani huletwa kwasababu ta kupigania rasilimali...
ona kule iraq,waasi wameteka baadhi ya visima vya mafuta na wanachimba,wanauza na kupata pesa za kuendeleza vita...
sasa hao wanajeshi usikute wako pale kulinda rasilimali za taifa kwani katika hali hii ya uchaguzi lolote linaweza kutokea

...kulinda rasilimali za taifa au rasilimali za ccm? acha upoyoyo! hayo manyan'gau yanatazama kula tu.
 
Tatizo fikra za wakubwa wetu zpo kama za watoto wachanga unatishia nguvu ya umma kwa mituty
 
Wakati unasoma uhasibu au ujenzi kuna watu walikuwa wanasomea mambo mengine tofauti kabisa. . . .
 
lazima tahadhari ichukuliwe,,hujiulizi kwanini mtwara na si arusha?...

kwasababu ya resource,,vita vyote hapa duniani huletwa kwasababu ta kupigania rasilimali...
ona kule iraq,waasi wameteka baadhi ya visima vya mafuta na wanachimba,wanauza na kupata pesa za kuendeleza vita...
sasa hao wanajeshi usikute wako pale kulinda rasilimali za taifa kwani katika hali hii ya uchaguzi lolote linaweza kutokea

wanalinda na vifaru sio ?kabla ya siku moja ya uchaguzi sio ?wanapita mitaani ? kwa sababu ikitokea vita mama ntilie na wamachinga watenda na bakuli zao kuchota gesi?sisi watanzania wasasa sio wale wa nyerere wa kuchagua giza au mwanga...tusameheni kidogo jamani..
 
Huu ushabiki wa kijinga. Ni wapi wametanda na ni nini wanafanya? Wameingia mitaani au wanaendelea na shughuli zao? Ni lini Jeshi likaingia mitaani kabla ya polisi kushindwa? Mbona mnawafanya watu majuha wa sheria za nchi? Jeshi huitwa kusaidia mamlaka za kiraia kwa utatatibu mrefu na si hivyo mnavyoaminisha watu. Hata kama watakuwepo wanajeshi, ni lini wamekulazimisha ukapige kura kumchagua mtu wanayempenda!? Je, hao wanajeshi wapo vituo vya kupigia kura ama wanapita barabarani na magari yao. Hebu tuache kushabikia tusiyoyajua na kujifanya mawakala wa kushangilia vurugu.

wewe usiwe mfalme juha,ukaona wote hawana akili kama wewe ? unafikiri wanajeshi wanafanya movement zao na vifaru mchana kweupe bila sababu ?mbona hapa mtwara hatuja wahi kuona wakipita ?tumeshazoea magari ya jeshi sawa,sasa vifaru na vyombo vya kivita ?hii ni sababu wanataka kututisha,na tutampigia babu wa nywele nyeupe,watulipue navyo..
 
Back
Top Bottom