Inaleta faraja kwamba sasa nchi itaongozwa na wanataaluma bila kun'gan'gania wanachama wasio na uwezo.
I doubt kama Dr Mpango, Dr Ndalichako, Dr Ashantu Kijaji ni wanachama wa chama chochote.
Wewe uwezo wako vipi mbona bawacha hamuishiwi maneno?Ashatu ni fisiem wa kondoa, uwezo wake ni questionable, kapata zali la mentali
Dr Mpango si mwanachama wa chama chochote japo miaka 3 nyuma alitaka kuchukua kadi ya ccm kwa ajili ya kwenda kugombea ubunge huko kwao kigoma but badae akasitisha kwa kudhani kwamba akiingia kwenye siasa taaluma yake ndio itakuwa imekwenda na maji na pia huyu ni mcha Mungu sana kama tujuavyo siasa zetu bila mambo ya sangoma mambo hayaendi hilo nalo lilikuwa kikwazo kwake.
Nauliza tu,hivi mbona huyu Mh.anafanana sana na Balozi Mussa Mpango wa DRC? Hawana udugu hawa au? Isijekuwa tunamkabidhi "mgeni" hazina yetu!!
huyo Dr Kijaji ni mbunge wa kondoa.
ni jambo zuri na hayo ndio mabadiliko Obama aliwaacha baadhi ya mawaziri wa Bush kwenye baraza lake.