Mmh Haya mambo MUNGU atusaidie wapo hawa wanaosema Adam wa kwanza Mungu wa Elia hawa ndo wamenivuluga akili kila mwenye mafanikio akigusa tu lazima afilisikike maana wanahitaji vitu vyote viwe vipya ikiwa ni pamoja na kupata jina jipya Mmh hizi nyakati tuwe makini tusome biblia Ndio kila kitu
Achen kuzaa wtt nje ya ndoa Ishmael Alitangulia Kaanan lkn ulikuwa nje ya Agano Hvyo nchi si yake Yakobo mbalikiwa ndiye mmiliki halali hao wengine watafute pa kwenda angalizo usinchukie Mimi muulize MUNGU aliye juu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.