Recent content by Ismail Khalid

  1. Ismail Khalid

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

    Kivipi?
  2. Ismail Khalid

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

    We pesa zake zinakuhusu nini Pambana na we upate zako utumie kama unavyotaka ukickia uchawi ndo huo unakerwa na mambo yacyokuhusu
  3. Ismail Khalid

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ulaji wa mafuta wa Toyota Wish

    Inawaka kawaida,na nguvu ni nzr kabsa na Haina mis yoyote, Ila ntapata ushaur wako mkuu.
  4. Ismail Khalid

    JamiiForums Tanzania Jamii ya wazaramo inapotea kwa Kasi

    Wanauza mjini wanahamia pemben ya mji Co kua wanapotea
  5. Ismail Khalid

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ulaji wa mafuta wa Toyota Wish

    Habari wakuu? Naombeni ushauri, wish yangu inakula lt1 km4 tatzo itakua nini? Wataalamu nisaidieni.
  6. Ismail Khalid

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli kwamba, mtu anakuwa na hela nyingi halafu hana furaha?

    Hela ni Hela tu,mradi uridhike na ulchopata
  7. Ismail Khalid

    JamiiForums Tanzania DCEA: Tuna orodha ya Wasanii wanaotumia Dawa za Kulevya, kupimwa wote

    Hzo siasa tuu
  8. Ismail Khalid

    JamiiForums Tanzania Kilichomfukuzisha kazi Maulidi Kitenge Wasafi FM chajulikana

    Kwan hzoq safar ni nn?
  9. Ismail Khalid

    JamiiForums Tanzania Ahsante ndugu Humphrey Polepole kwa msimamo wako kuhusu CORONA

    Keshakwenda zake tumuache apumzke
  10. Ismail Khalid

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

    Wanaosababisha uchepuke ni mkeo,mfano,anaanza kukupa mashariti ya haki yako unyumba anakupa cku anayo jickia,sasa kama mwanaume kutulza makelele unaamua kutafuta mchepuko ambao unapo taka mda wowote unapata
  11. Ismail Khalid

    JamiiForums Tanzania Nani kuziba pengo la Elias Kwandikwa?

    Polepole
  12. Ismail Khalid

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: CHADEMA imeishiwa ubunifu kufikia malengo yake ya kisiasa

    Ushaur wako ni mzur ila cdm hawataufanyia kazi maana ni vilaza wote
  13. Ismail Khalid

    JamiiForums Tanzania Ahsante ndugu Humphrey Polepole kwa msimamo wako kuhusu CORONA

    Mi naungana na ushaur wa polepole
Back
Top Bottom