Muwe mnajisomea kabla ya kuandika , Raisi wa marekani hatokani na maamuzi ya wananchi . Kaangalie kura za mwaka 2016 kuna jambo utajifunza. Kura za wananchi haziamui raisi , Raisi anaamuliwa na kura za wachache
Mwandishi mmoja aliwahi kusema usipompenda Raisi wa nchi yako basi utaishi kama mkimbizi kwa miaka yake yote atakapokuwa madarakani, Bahati mbaya zaidi anaweza fauatia Raisi usiyempenda pia ukaongeza miaka ya ukimbizi ndani ya nchi yako ikawa around 20yrs
Ubaya wa jambo hili ni kwamba as an...
Mbona iPad zipo miaka Konso, haina call wala sms za kawaida , line unaweka inatumia data tu
Kuna iPod pia kama unataka size ya Simu , haina call wala sms za kawaida, Yenyewe ni data tu. Wazungu huwanunulia watoto wao hasa wa shule
Rahisi sana , Ichomeke kwenye computer then fanya back up kwenda kwenye hiyo computer . Reset kila kitu kwenye simu then restore backed up data zako. Tatizo linakuwa limeisha
Kariakoo hujaijua vizuri bado. Kariakoo ni habari nyingine ni soko kubwa mno, linaweza kuwa ndo soko kubwa la bidhaa mbali mbali east and central africa. Kwa population tu kariakoo ina watu wengi kuliko sehemu yoyote africa mashariki na kati
Kama huu ujenzi ni ila ni ya 2015-2020 naomba screenshot au Leta kipande cha ilani ya 2015-2020 inayosema itajenga fly over uhasibu na mataa ya veta au daraja la shaurimoyo hapo bandarini puma .
Au njoo na udhibitisho wowote kuonesha hizo flyover alizojenga Samia ni ilani uliyoitaja hapo juu.
Post ya namna hii siwezi jadili na wewe maana umejaza hisia . Ufisadi nchi hii haujawahi kuisha na Kwa record za CAG (data) hata kipindi cha JPM kulikuwa na ufisadi wa kutisha. Pitia report za CAG kipindi hicho labda nikukumbushe tu suala la 1.5 tril lilivyoleta sintofaham ya mambo mengi sana...
Kuhusu watu wa shule za kata kuishia wapi hilo ni suala lingine ila ilitoa fursa ya elimu Kwa watu wengi sana , sana . Kumbuka elimu ya form four ni daraja muhimu Kwa vitu vingi sana
Mikopo ya vyuo vikuu ilikuwepo lakini Kwa watu Wachache sana na Kwa vyuo vichache . Kikwete aliipeleka hii...
1. Mfugale flyover Kikwete
2.Shule za kata kikwete (kwangu Mimi nafikiri hakuna mradi mkubwa na muhimu nchi hii kama huu)
3. Mwendokasi kikwete
4. Mloganzila kikwete
5.Daraja la kigamboni Kikwete
6. Kuunganisha nchi nzima Kwa lami ni Kikwete
7.Chuo kikuu Dodoma Kikwete
8. Mikopo vyuo vikuu...
Mbona zipo , Uhasibu ipo na inafanya kazi , mataa ya changombe ipo na inafanya kazi flyover ni vitu vidogo sana kwenye maendeleo ya nchi . Ni pesa ndogo mno kuipa umuhimu kiasi hicho
Ni gumu kulizuia na ndo maana wameshindwa (kama ni kweli si tukio la kutengeneza) Na hii inaonesha weakness za hawa watu tofauti na tunavyoaminishwa kwenye media zao. Mambo kwa ground ni tofauti na ubishi wetu wa kila siku. Na Kwa mantiki yako Russia ni vulnerable kama watu wakiamua kujipanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.