Hizo ni za ilani ya 2015- 2020Mbona zipo , Uhasibu ipo na inafanya kazi , mataa ya changombe ipo na inafanya kazi flyover ni vitu vidogo sana kwenye maendeleo ya nchi . Ni pesa ndogo mno kuipa umuhimu kiasi hicho
Kama huu ujenzi ni ila ni ya 2015-2020 naomba screenshot au Leta kipande cha ilani ya 2015-2020 inayosema itajenga fly over uhasibu na mataa ya veta au daraja la shaurimoyo hapo bandarini puma .Hizo ni za ilani ya 2015- 2020
Za ilani ya 2020 - 2025 ziko wapi?
Ni raisi gani ambaye hakufanya mengi?nyinyi machawa akili zenu ni kama za ngedereHuyo aliyewaambia fly over ndo maendeleo aliwajaza ujinga, hujaona alivo uprage majengo ya shule ambayo yalikua kama mabanda ya kuku, raisi samia kafanya mengi tu
Huyo aliyewaambia fly over ndo maendeleo aliwajaza ujinga, hujaona alivo uprage majengo ya shule ambayo yalikua kama mabanda ya kuku, raisi samia kafanya mengi tu

Kwani kunasiku mama ameandaa ilani nakupiga kampeni?Ilani ya CCM 2020 - 2025 inatekelezwa wapi? Mbona yaliyoandikwa kwenye ilani hiyo ya kurasa 303 hayaonekani kutekelezwa? Mfano ilani hiyo imetaja flyover kibao ikiwemo pale Mwenge mbona haijengwi?
Basi kama lengo la Rais Samia ni kuendeleza tu mazuri ya awamu ya tano basi kulikuwa hamna haja ya kuandika makurasa 303 kwenye ilani, badala yake wangeandika tu msitari mmoja tu kwamba 2020 - 2025 ni kukamilisha miradi ya Magufuli.
Inaleta ukakasi kama niubwabwa basi umeingia vumbi na kitumbua kuingia mchangaFlyover?
Miaka zaidi ya 60 kuna watu hawana chakula, watoto shule tabu
Hela zinapigwa kama hakuna serikali halafu unawaza flyover daa
Lia na ajira na maendeleo mengine na muache wizi maana ripoti ya mkaguzi inaleta ukakasi
duh kwahiyo wewe flyover ndio unakiona kitu muhimu,umeona shule alizojenga? hospitali,vifaa vya mahospitali,we acha ujingaIlani ya CCM 2020 - 2025 inatekelezwa wapi? Mbona yaliyoandikwa kwenye ilani hiyo ya kurasa 303 hayaonekani kutekelezwa? Mfano ilani hiyo imetaja flyover kibao ikiwemo pale Mwenge mbona haijengwi?
Basi kama lengo la Rais Samia ni kuendeleza tu mazuri ya awamu ya tano basi kulikuwa hamna haja ya kuandika makurasa 303 kwenye ilani, badala yake wangeandika tu msitari mmoja tu kwamba 2020 - 2025 ni kukamilisha miradi ya Magufuli.
Maendeleo sio Mkoa mmoja tu.... Mama anajaribu kubalance na watu wa mikoani nao wale jasho la kodi yao...Awamu ya 5 kodi ilikusanywa Tz ikawa inatumika kwa % kubwa Dar na Chato....Sasa tulieni na mikoa mingine tule kodi zenu....uku mabarabara ya Lami ndo yameanza kijengwa, Mastand ndo tunaona yanajengwa, masoko yaliyoenda shule yanajengwa....Tulieni ivoivo
Mno yaniInasikitisha