Recent content by Isinik

  1. Isinik

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

    Nyie mshabikieni tu,mambo ya kiharibika msije geuka tena.
  2. Isinik

    JamiiForums Tanzania Mambo 101 unayohitaji kujua kuhusu Jeshi la Polisi lakini unaogopa kuuliza

    Polisi wa tz ni full maagizo toka juu kuliko kuheshimu,kufuata katiba na sheria.
  3. Isinik

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda huyu dada ila wazazi wamemkataa kisa mnyakyusa

    Ndio hapo sawa kabisa! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Isinik

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Kwahiyo kabendera ni mfungwa? Huyo ni suspect,hivyo dhamana mahakamani ni haki ya mtuhumiwa.
  5. Isinik

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Shida ipo kwenye sheria hiyo mbovu iliyotungwa kwa Marengo mahsusi,eti una mnyimaje mtu dhamana kwa makosa ambayo hayajadhibitika kisheria?haya Leo mmemnyima dhamana mwisho wa kesi mahakama inakuja kumuona Hana hatia na kamwachia huru hilo litakuwaje? Itoshe kusema Bunge ifike mahali wabadilishe...
  6. Isinik

    JamiiForums Tanzania Dk. Bashiru ayaonya mashirika ya kimataifa kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania

    Duh! Bashiru ni bora ungenyamaza tu kuliko kutoa matamko hayo! Au ulitaka waseme hongera ccm kwa ushindi wa kishindo sio? Kama unapenda kusifiwa basi jua Kuna kukosorewa pia.
  7. Isinik

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwamini mumeo hata kama unahisi kudanganywa, mwamini yaishe

    Good
  8. Isinik

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa Inavunjika Hiyo!

    Umekosea sana kuwadharau wanaume wenzio walioa wanawake wasio na bikira,pia elewa kuwa kuoa mwanamke mwenye bikira si kipimo cha uaminifu ktk ndoa,kwanini nasema hivyo mm mwenyewe ni muhanga wa hilo,miaka 18 iliyo pita nilioa msichana bikira ni kazaa naye mtoto mmoja,baada ya miaka2 hivi...
  9. Isinik

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mrakibu wa Polisi, Kinondoni akata rufaa dhidi ya hukumu yake ya kunyongwa hadi kufa

    Hujahitimisha vzr baada ya kufuta adhabu hiyo nn kifanyike,ama adhabu gani ingefaa zaidi nk
  10. Isinik

    JamiiForums Tanzania Kagame faults Rwanda Supreme Court's decision to retain insulting the president as a criminal offence

    Write your reply...Vzr sana mr kagame,pia haitoshi kuikosoa mahakama pekee futeni hy sheria.
  11. Isinik

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Muumini wa Waadventista Wasabato, watuhumiwa waomba upelelezi uharakishwe

    Write your reply...watavuna walicho panda, rest in peace petro.
  12. Isinik

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri UDOM ashikiliwa na Vyombo vya Dola kwa tuhuma ya kutaka rushwa ya ngono kutoka kwa mwanafunzi wa kike

    Duh hapo mhadhiri kajivunjia heshima yake na taaluma.
  13. Isinik

    JamiiForums Tanzania Anna Makinda: Sijawahi kuolewa ila tunakoenda wanawake watakuwa na nguvu kuliko waume zao

    Fujo kwenye bunge la chama kimoja,halafu fujo zitusaidie mini wananchi? Tunahitaji hoja zenye mashiko bungeni.
  14. Isinik

    JamiiForums Tanzania ZANZIBAR: Watoto 2 wafariki kwa kuangukiwa na ukuta

    Nihuzuni kweli,mungu awape moyo wa uvumilivu ndg,jamaaa na wanafamilia hizo zilipatwa na maafa hayo.
  15. Isinik

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangalla: Ajali niliyopata imenifundisha kuwa kifo kipo pia ni kweli Mungu yupo na maombi ni muhimu!

    Pole sana mh!mungu yu pamoja nawe,usihofu atakuponya na utarudi kulitumikia taiga.
Back
Top Bottom