Hapa tujue kwamba hili ni taifa ,linahiyaji vijana wakuliongoza na kati ya hao ni nyie vijana wa sasa,tunahitaji vijana wenye elimu,nidhamu,uaminifu na heshima mbele ya jamii,matusi kwa hali yoyote ile bila kujali ametukanwa nani, huo ni utovu wa nidhamu ,visingizio vya siasa visipewe nafasi na...