Mafuta gani mazuri ambayo hupakwa kwenye ndevu

mikumiyetu

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
1,309
942
Habari za jioni ni mafuta gani mazuri ambayo upakwa kwenye ndevu zikawa na muonekano mzuri
 
Mafuta ninayotumia kwenye nywele za kichwani ndiyo hayo hayo nayatumia kwenye ndevu na kwangu yako poa tu. Aina za mafuta ninazotumia ni hizi; Mafuta ya Nazi, Mafuta ya Mzaituni, Mafuta ya Kuza na Sofn' Free Gel Activator na kuna mafuta flani hivi yamechorwa Parachichi kwenye kopo lake, nayo yapo poa tu.

Ndizo aina za mafuta nnazotumia hizo na huwa nanua aina mojawapo kama ninayoyatumia yameisha.
 
Back
Top Bottom