Sitaki kuamini wala sitokaa niamini kuwa uchaguzi wa Marudio Monduli waliojitokeza kwenye kura ni wengi kuliko wale wa uchaguzi mkuu!

Kwani Mkuu kipindi kile wakati wanamshtumu Trump kuwaita viongozi wa Afrika nyani wewe uliumia? Binafsi niliona ni sahihi kabisaaa.

Mkuu niliumia sana kwani ukweli unauma. Ningekasirika iwapo angekuwa hajasema ukweli. Sasa kama kasema ukweli sina budi kuumia tu.
 
Kitu ambacho najua ni kwamba pamoja na ccm "kushinda" wanaelewa kabisa hawakubaliki na wananchi.
Hilo wanalijua wazi kabisa..
CCM wenye haya wanaonea aibu ushindi huu uliopatikana katika uwanja usio sawa.
Aliwahi kusema shabiki mmoja wa yanga ushindi wa matuta hauna raha, pale Yanga ilipomshinda mtani wao Simba kwa goli la penalti.
Najua kuna wapenzi wa ccm wenye uchungu na ccm yao wanafadhaika na yanayoendelea sasa hivi.
Naamini hata watendaji wa NEC waliowengi wanafadhaika na yanayutokea na wako wanaotafuta namna ya kujitenga na udanganyifu huu ila wanaogopa visasi. Kikubwa ni kuiombea nchi yetu tu, pawepo amani kwani sisi wote mwisho wa siku ni watanzania hatutaweza kufikia hatua ya kuumizana kwa sababu ya siasa hizi zilizokosa ustaarabu.
Mungu wetu, yaone haya na najua wewe ni Mungu unayeona na utatenda kwa wakati kwa ajili ya haki.
 
Tatizo ni wingi wawapiga kura? Kwani waliojiandikisha hawafikii idadi Hugo?
Waliojiandikisha ni 80,000 waliopiga kura 2018 ni 70,000 na mwaka 2015 waliopiga kura ni 60,000. Hivi hiyo hesabu ipo Sawa Kweli? Kiukweli tume ya uchaguzi inatakiwa itoe majibu juu ya takwimu hizi.
 
Kada vipi? Sikuoni mkuu mzee wa mengeleni. Na wewe unashangaa?
Mkuu hili halina uchama wala ukada. Hoja ipo kwenye idadi ya wapiga kulingana na kalenda. Hoja haipo nani kashinda ama nani kashindwa. Hapa kuna udanganyivu kwenye idadi ya waliopiga kura hivyo tumpe ya uchaguzi inatakiwa iondoe dosari hii
 
Kaka wala kosa sio lao. Utawala huu kila mtu anataka kuonekana nani zaidi kwa boss. Hivyo wanachakachua mpaka wanajisahua wanapitiliza. Wala tusiwalaumu.
 
Kaka wala kosa sio lao. Utawala huu kila mtu anataka kuonekana nani zaidi kwa boss. Hivyo wanachakachua mpaka wanajisahua wanapitiliza. Wala tusiwalaumu.
Unakosaje kumlaumu mtu aliyewekwa mwamuzi au msimamizi wa uchaguzi?
Ukizingatia nafasi waliyo nayo viongozi wa tume ya uchaguzi,heshima waliyo nayo katika jamii na hicho walichofanya ni vitu viwili tofauti.
Nilimuona mwenyekiti wa tume akitangaza yeye mwenyewe matokeo ya jimbo la ukonga.
Nilikuwa na maswali mengi sana....
Je,hivi ni kweli yeye ni jaji wa mahakama kuu kama wanavyomwita?
Bila shaka jaji ni mtu anayeaminika katika jamii,lkn matokeo aliyokuwa akiyatangaza hayaaminiki.
Katibu mkuu wa ccm ni dokta,bila shaka alikuwa ni mhadhiri wa chuo kikuu, lkn hata hivyo haeleweki hasa wakati huu alipoanza kuwa mwanasiasa,sijui ni msomi kweli au???
Kuna profesa Palamagamba,naye alikuwa chuo kikuu,lkn mambo ya makinikia hayaeleweki...
na kuna maprofesa wengi mawaziri..sijui nisemeje.
Wasomi wa nchi nyingine wanafanya vizuri...wakwetu ni maprofesa wanapoandika mikataba na wenzao wa nchi nyingine unashangaa. Kuna mikataba mingi ya Tanesco no hovyo,mikataba ya madini ni hovyo,mikataba ya gesi ni hovyo,hovyo kila mahali.
Kwenye siasa hawa jamaa wa ccm,wanafanya ya hovyo kupita maelezo sasa mtu unajiuliza sisi waTanzania tuna tatizo gani vichwani mwetu?
Jana niliona polisi wakishangilia ushindi wa ccm,...nauliza..hivi hata polisi wetu hawajui misingi ya kazi yao ya upolisi?
 
Mkuu infinix hapo ndo ninaporudia tena kuwa hawa jamaa tatizo lao ni moja. Wamemwaminisha yule mfalme kuwa bila yy hawawezi kuishi. Hivyo wanafanya lolote liwe la kweli au uongo ili afurahi. Na uzuri washamjua anapenda sana sifa so kwao ni poa tu. Akili wameziweka mfukoni. Ila ndugu yangu infinix iko siku kilio cha watanzania kitakuwa juu yao na juu ya familia zao.
 
Be analytical kidogo tu
Vituo gan ambavyo havikuwa na watu KABISA?????

Njoo na takwimu utuambie n watu wangap walioenda kupga kura to extent ya kusema hakukuwa na watu KABISA???

Je ukichukua ukonga kama case n kwel waweza sema wasimamizi waliotaka kushambuliwa na mgombea ubunge chadema na kikundi chake KUWA N WASIMAMIZI WALIOKUWA WAMELALA??

Tunahtaj watu makin kuwa na upinzan makin
Na wewe ni ovyo tu! Hata kama ccm hamna akili hivi inakuingia akilini kweli kwanza idadi ya wapiga kura kwenye huu uchafuzi iongezeke kuliko mwaka 2015 kulipokuwa na hamasa ya kutosha! Nyie ni kama mashetani
 
Kwa huu upuuzi unaoendelea kwenye hizi chaguzi nashindwa kukasirika wazungu wakituita manyani. Huwa kila siku tunasema chini ya awamu hii data zinapikwa, na kwenye uchaguzi huu ushahidi umepatikana.
Hata Trump nilishamsamehe kwa kosa la kuiita nchi yetu shithall. Nimekundua kuwa yawezekana hakuwa amekosea sana!
 
Na wewe ni ovyo tu! Hata kama ccm hamna akili hivi inakuingia akilini kweli kwanza idadi ya wapiga kura kwenye huu uchafuzi iongezeke kuliko mwaka 2015 kulipokuwa na hamasa ya kutosha! Nyie ni kama mashetani
"Ovyo"
Si jibu la kihoja
Kwann mnataka uhuru wa kujieleza lkn hamtak wengine wawaze tofaut na vile mnavyowaza ninyi???
Kwann mnakuwa n watu wa matusi na dhihaka pindi inapotolewa hoja dhidi yenu???

Ndo hvi mtakavyokuwa pindi mtapopewa nchi
Yan n matusi,dhihaka,na kuwatukana wasimamizi wa uchaguz?????

Je n kwel ndo serikal, bunge litakuwa kinaongozwa na majib ya "OVYO"????
 
'Takwimu' zikishatolewa na vyombo vya serikali hazihojiwi, vinginevyo ni uchochezi!!??
 
Mbowe ashiriki ili kuendelea kuipa uhalali cdm wa kuwa chama cha siasa. Ila asichowez na ambacho hataweza ni kutulazimisha tujitokeze kupiga kura. Hii idadi ndogo ya wapiga kura tutaendelea kuishusha kudhibitisha kwamba ccm haikubaliki. Huko mbeleni tutapata njia sahihi ya kuiondoa ccm madarakani nje ya box la kura waliloshindwa kuliheshimu.
Tulishakuambia siku nyingi ujitokeze mitaani uone kipigo cha mbwa koko!! Umekalia kutoa mapovu yako huku JF tu. Kwanza hebu kaa mbali unatutemea mate bhana!!
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom