Recent content by Ishebo

  1. I

    Kwaheri Assumpta Mshama - Mbunge wa Nkenge

    Mungu ni mwema, sakata la ESCROW account lilimfanya mbunge wa Nkenge Assumpta Mshama kujivua nguo kwa wananchi wake, pamoja na kubomolewa kwa ngome kongwe jimboni humo, lakini pia hata kwa sasa mikutano yake ni kama kliniki za vikongwe, jana nimeshuhudia watu wamekaa, hawafiki 40, meza kubwa tu...
  2. I

    Kanuni za kumpata mwenza sahihi

    These are international based research, that should not be taken on local pespectives. These principles are; 1. Age, 2.Beauty, 3.Character, 4.Dignity, 4.Education & Faith. N.B, These principles are personal and liberal. Therefore there are some difficulties in their...
  3. I

    Ninayaheshimu mapenzi

    Mapenzi, Mapenzi, Mapenzi. Kama kungekuwepo na chuo kinatoa shahada na kanuni halisi za mapenzi basi vijana wote ingekuwa MANDATORY kupata hiyo shahada. Mimi ni 'ME' wa 27yrs. Nilimbikiri binti 1, nikaenda 5&6, nikarudi nyumbani 2013 nikiwa 3yr, binti by then tayari kamaliza...
  4. I

    Hapana, hapana, hapana.

    Tumekosea wapi? tulianza lini kukosea? tutatubu lini? je ni watanzania wote waliokosea? ni nini hatma ya kukosea kwetu kwa kizazi cha kesho? uliza maswli uwezavyo kadri ya uwezo wako huwezi kupata jibu la moja kwa moja...
  5. I

    Kifo cha CCM kimetimia

    Kivuli kinaishi!, sifa za kitu chochote kinachozaliwa ni kukua na kufa. Hakuna anayejali, wamelala usingizi wa pono! Misemo na mifumo lukuki, mara digitali mara kilimo kwanza mara 'Big Results Now!. Nirudi kwenye mada. "ANGUKO", siku za nyuma, Bw. Nape alinukuliwa akisema CCM HAITAKUFA!. Chama...
  6. I

    Zitto Kabwe: Viongozi serikalini wajimilikisha viwanja 160

    Yes, kwa Mh. Zitto ni kazi nzuri. (PONGEZI). Tatizo ni huyu mchangiaji anayetaja jina la mtu (Lema) bila sababu za msingi. Tofautisha, 'academician na activist', Usilinganishe Che Guevara, Martin Luther (Jr), Fidel Castro, Malcolm X na Mandera, hawa ni wasomi wazuri, lakini pia walikuwa...
  7. I

    Njia ya Lowassa kwenda Ikulu imejaa miba na visiki

    Nafurahi kwa nini nimefungua jf asubuhi, mleta hoja, "MUNGU AKUBARIKI" nataka kukufahamisha kuwa, umehoji vizuri 'high level of reasoning' kimsingi na kisheria umetoa vitu kirahisi tunaviita 'issues' na, nimefarijika, ni moja ya thread iliyoshiba yenye hoja za msingi, na haujaonesha ushabiki wa...
  8. I

    Naiona tanzania ya ahadi!!! lack men"

    Ninaandika maneno haya nikiwa na majonzi makubwa, ninaomba tujikumbushe kidogo, Dr. Martin Luther (Jr) alipata kuandika kitabu kiitwacho, 'Where Do We Go From Here, Chaos or Community'? ni miaka ya 1960's. Ikumbukwe kuwa alitoa 'I HAVE A DREAM speech' 1963, kabla ya kuuawa, akatoa 'I SEE THE...
  9. I

    Wana Kagera Njooni Hapa Tutete, Tujadili, Tuzungumze, Tufanye Maamuzi, na Tuchuke Hatua!

    Without prejudice 'bila athari' michango ya wapenda mabadiliko ni wengi, sitaki kutofautiana nao kwani wametoa mapendekezo ya msingi, lkn thread hapo juu, nadhani ililenga 'political mvts' kimsingi napata faraja kuwa tayari kuna makundi mawili ambayo bila shaka yatategemeana i.e wenye sera za...
  10. I

    Wana Kagera Njooni Hapa Tutete, Tujadili, Tuzungumze, Tufanye Maamuzi, na Tuchuke Hatua!

    Mleta hoja mungu akubariki, kwa kuboresha zaidi, nimeona orodha ni kubwa, kuna wanaoandika (academician poticians) na wanaofanya harakati za kisiasa bila ya kuandika, (political activists) orodha nimeona ni kubwa, wanaitaka KAGERA ya miaka ya 1970 kimaendeleo? na kama ndiyo, kwa yeyote mwenye...
  11. I

    Kagasheki Akata Tamaa Ubunge,Asema Bukoba Ni Wanafiki

    amesoma nyakati huyo, anajua 2015 anapigwa za uso, wasbiri na bado hao wepesi, sisi tupo vijijini tunawakaanga, juzi nimewatetemesha, nimekuta rasimu za katiba wamelalia chini ya mito, nikaanza kutoa maoni yangu kila ninachotaja wanashangaa, nikasema hakika hawa wetu, bado naratibu maeneo korofi...
  12. I

    Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

    :clap2::lalala::welcome:karibu sana nyumbani lwakatare, tunakusubiri utandikiwe 'RED CAPET' hata mizinga ikiwezekana, " sign of victory'
  13. I

    Muhimu kwa viongozi wa CHADEMA na wanachama wote

    Mkuu umesomeka, bila shaka nyie ndio malaika wa Chadema msioonekana, mnaofafnya kazi kubwa ya kulinda chama, mchango wako ni mkubwa, bila shaka ni mwenyeji mungu atakusaidia uweze kuvumilia uharo wa vijana wa lumumba. "UBARIKIWE":amen::welcome:
  14. I

    Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    Maneno ya dokta kikwete,
  15. I

    Mahakama kuu kesho: Ruling ya kesi ya lwakatare

    Wanakagera na watanzania kwa pamoja tunamwachia MUNGU atamtangulia, na kwa hilo, hatutaki kusema 2015 kutatokea nini, Mabumba jana bungeni kasema (anayedhani amesimama awe makini asiche akaanguka) 2015 watatukuta.:teeth:
Back
Top Bottom