Recent content by Ishaselo

  1. I

    Nimeikatalia shule kunilazimisha kumpeleka mtoto boarding. Mtoto ana uwezo wa kawaida na yupo karibu na shule, sioni umuhimu wowote

    Boarding watoto wanaharibika sana hususani hili janga la upidid. Naunga mkono hoja.
  2. I

    Huyu nabii Elisha Muliri ukipiga simu kabla haujamueleza shida yako yeye anakueleza mpaka nguo uliyovaa

    Wote wanaopiga simu wanakuwa wamepangwa, ukimpigia kwa namba ambayo haijapangwa haipokelewi, kala kabaho!
  3. I

    Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

    Marekani ni taifa tajiri sana hata hivyo kupata pesa inategemea na kazi na uhalali wa uwepo wako huko.Ninaye ndg yangu huko ametutumia mahela ya kutosha.
  4. I

    Utajuaje upo Afrika?

    Kila mtoto anakuja na sahani yake
  5. I

    Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

    Uzi uko vizuri sana.Tatizo mnapenda muandike nyinyi tu.Midoli ikiwa uchi kuna tofauti gani na picha za utupu? Msipende kukosoa kila kitu jaribu kukubali mawazo ya wengine pia.
  6. I

    Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

    Kwa namna hiyo midoli ilivyoundwa lazima kwa mwanaume RIJALI ikushughulishe.Kama ww hupatagi hisia consult a physician utakuwa na changamoto ya erection.
  7. I

    Makonda nakuamini, usirudi nyuma

    Kama kuna mtu anahitajika sana kwa manufaa ya watu wa hali ya chini basi mtetezi ni Paul Makonda.Kijana jasiri mwenye uthubutu na asiyemuogopa wala kutishwa na mtu yeyote.Makonda ni zaidi ya bulldozer!
  8. I

    Inspekta wa Polisi Morogoro apewa "Toto" la Kiarabu na Sheikh Kishki

    Kasema atamtafutia,bado hajampatia mbona mnapotosha?
  9. I

    Watanzania watakujaza 'Upepo' kuisema Serikali ila ukikamatwa tu wanakuacha peke yako

    Una maana harakati hazifai hata kina Mandela na Nyerere walikuwa wajinga kupigania uhuru.
  10. I

    Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

    Masaa matano limekuwa bus? Dar -Dom ni km 450 kwa hiyo linatembea zaidi ya km 100 kwa saa?!!
  11. I

    Furahia upishi wako na gesi janja (M-GAS) yenye mita janja wala huhitaji kununua mtungi wa gesi tena

    Najuta kujiunga na nyinyi.Nilikuwa nikijaza jiko la gesi ndogo kwa sh 23000 natumia mwezi mzima lkn humu m-gas imekula 50000 kwa mwezi kwa matumizi yaleyale! Nimejirudia home!
Back
Top Bottom