Mara nyingi nikiwa najisikia kuumwa sana, hospitalini majibu ya vipimo vya malaria vimeonesha -ve. Lakini vipimo kwenye maabara binafsi huonesha +ve.
Miaka ya nyuma USA na Tanzania walianzisha mradi wa kutokomeza malaria. Vyandarua viligawiwa, upulizaji dawa maeneo ya mazalia mbu haukufanyika, kwa nini jibu mwenyewe. Wafadhili wanataka mrejesho.
Uamuzi wa serikali kutumia vipimo vya mra vilivyo rekebishwa ( calibrated) kutoa majibu ya -ve, ili tu kuonesha mradi ukifanikiwa ili kuendelea kuletewa pesa ni hatari kwa uhai wetu.
Watumiaji bima ya afya dawa huandikiwa kutokana na majibu ya vipimo. Ama kweli punda afe mzigo ufike.