Recent content by Iselamagazi

  1. Iselamagazi

    Nini kifanyike ili kusupport mawazo ya kina Lissu, Polepole, Mpina, Gwajima na wazalendo wote kwa ujumla?

    Kwani wewe binafsi unapanga kufanyaje? Kundi mtandao ndiyo watu gani hao?
  2. Iselamagazi

    Chanzo Cha Nyimbo "Ajali Haikingiki''

    Asante Mzee Mohamed Said kwa kutuhabarisha! Nakumbuka sana nyimbo za huyu gwiji wa Muziki - Fundi Konde. Baadhi ya nyimbo zake: Majengo Siendi Tena Mama Sowera Jambo Sigara Tausi Ndege Wangu Olivia Leo, n.k.
  3. Iselamagazi

    Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

    UTT siyo mfuko wa hisa. UTT - AMIS: Ni aina ya Uwekezaji wa Pamoja (Collective Investment Scheme) Ipo mifuko sita iliyo chini ya UTT - AMIS: Umoja Fund Watoto Fund Wekeza Maisha Fund Jikimu Fund Ukwasi (Liquid Fund) na, Hatifungani (Bond Fund) siku tatu za kazi (working days)
  4. Iselamagazi

    GE2025 Binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030

    Kama hutaki kutumia nguvu kufikiri basi usingepoteza muda wako ku-post hiki ulichoandika.
  5. Iselamagazi

    Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

    Ukiweka milioni 500, faida utapata sh ngapi mkuu? shusha hapa calculation
  6. Iselamagazi

    Makosa Katika: "Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Photographic Journey"

    Asante sana Mzee Mohamed Said! Huwa napenda sana kusoma post zako maana yapo mambo mengi uliyonayo ambayo hata kwenye vitabu vya historia huwezi kuyapata.
  7. Iselamagazi

    Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

    Uzi huu umenifundisha kitu kimoja kikubwa, kwamba elimu kuhusu uwekezaji wa pato tulivu (passive income) bado sana hapa nchini Tanzania. Wachangiaji wengi katika uzi huu wanachanganya mambo mawili katika uwekezaji - Active income na passive income Huwezi kufanya passive income alafu kila siku...
  8. Iselamagazi

    Hivi mtu na akili zako timamu unawezaje kufanya kazi ya malipo laki na hamsini Kwa mwezi

    Na unaitangazia dunia bila haya kuwa ulitoa buku na mtu akafurahi kwa kulia! Sa alienda kununua nini? Shame on you!
  9. Iselamagazi

    Mjue binadamu wa ajabu anaitwa Unju bin Unuk

    Unaona eeh, it doesn't make sense!
  10. Iselamagazi

    Mjue binadamu wa ajabu anaitwa Unju bin Unuk

    Pia ardhi haitatosha, inabidi hilo kaburi li-cross mito na bahari kwa jinsi lilivyo refu!
  11. Iselamagazi

    Mjue binadamu wa ajabu anaitwa Unju bin Unuk

    Waisrael hawanaga hizo habari za fiction bali Waarabu. Mfano: Arabian Nights (1 Thousand and 1 Night), The Book of Khaleed, The Hakawati n.k... Hizi hadithi za kufikirika zimeingizwa hadi kwenye imani fulani za watu wakidai kuwa ni maajabu.
Back
Top Bottom