Waisrael hawanaga hizo habari za fiction bali Waarabu.Munasaba wake ni huyo huyo,ila habari hizi hazina ushahidi bali ni katika visa au habari za Waisraeli.
Aliitwa Uuj bin 'Anaq au Uuji bin 'Auq. Wanasema alikuwa Mfalme wa Bashaani na alikuwa kabla ya nabii Musa.
Pia ardhi haitatosha, inabidi hilo kaburi li-cross mito na bahari kwa jinsi lilivyo refu!Sasa kaburi lake limeanzia Kilwa hadi wapi?😉
Unaona eeh, it doesn't make sense!Bwana Unju mguu wake mmoja upo Kongo na mwingne upo Bongo.Daaaahh,huyu kaburi lake si mchezo ila tunaambiwa pamoja na ukubwa na urefu alokuwa nao,jamaa kaburi yake ipo ipo hapa hapa Bongo.
yaani mtu anakaribia jua maji ya kunywa mpk aombeHivi ushawai sikia story za mtu kiumbe kiitwacho Unju bin Unuk?
Basi ngoja nikusimulie kwa ufupi!
Unju bin Unuk ni mtu aliepata kuishi zamani inakadiriwa aliishi karne ya 16-17 uyu jamaa kuna watu wanamsema ni moja ya manabii, wengine wanasema ni mtu tu wa maajabu.
Unju bin unuk alikuwa na urefu mkubwa sana na mwili mkubwa kuwahi kutokea duniani alikuwa ana uwezo wa kuingia baharini na akaokota samaki kwa mkono akiwa ndani ya maji na akamkausha na jua kwa kunyoosha mkono juu na kurikalibia jua.
Pia jamaa inasemekana alikuwa na uwezo wa kutembea kwa kuruka ruka; jamaa inasemekana hata Tanzania alishawai kuwepo alipata kuishi maeneo ya Kilwa Kivinje na kaburi lake ndo Lipo uko.
Jamaa inasemekana hatua yake moja ya mguu wa kulia ipo Tabora na nyingine ya mguu wa kushoto ipo Kongo.
Pia inasemekana aliwahi pita maeneo fulani ya Kilwa akakuta watu wanachota maji mtoni akawaomba maji wale watu wakamfukuza ila tangu walipomfukuza yale maji ya ule mto yakawa machungu na yanawasha ila maji yale yale ya ule mto katika kijiji cha pili ni mazuri tu yanafaa kwa matumizi.
Je, vipi na wewe ushawai sikia habari za uyu mtu Unju bin Unuk.
Sasa ntafanyajeHivi ushawai sikia story za mtu kiumbe kiitwacho Unju bin Unuk?

Shamukwale hiiHujawai kusikia habari zake?