Recent content by iseesa

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    Umeona ya CHADEMA tu, je hujaona hilo GWANDA la MWIGULU?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kutoka bungeni: Aprili 25, 2013

    Na "Makunyanzi" yake usoni yaongezeke
  3. I

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mh. Msigwa (tuendelee ama tusiendelee)

    CCM kama wewe wana Kiranga cha kila kitu, hata huo ushenzi wa "popoooo mbawa" unaoutaja. MAGAMBA huwa hwaachi kitu kwa sababu ya laana
  4. I

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuanika madudu ya Serikali, Ofisi ya CAG yasambaratishwa!

    Mkuu mi naona Mwigulu Chemba aliyepata "First class" UDSM (kama alivyodai) ndo atafaa
  5. I

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Serikali isifikirie adui ni CHADEMA, ni watendaji!

    Duh!! Kumbe akikatazwa matusi Akili humjia??
  6. I

    JamiiForums Tanzania Ala kumbe mnatakufanya hili baada ya kufukuza CHADEMA bungeni ?

    Natumai hawajala maharagwe au dengu hawa....
  7. I

    JamiiForums Tanzania Lukuvi na Ndugai wapingana hadharani

    Usipokuwa na Elimu ya kutosha kama LUKUVI ni sharti UJIKOMBE (boot-licker) na MWANAUME anayejikomba...agopa sana ...aweza "Kufanya lolote au kutoa chochote"
  8. I

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa ukaribisho - Anna Tibaijuka

    Huyu mama ni jasiri tangu zamani. Ni Mwanzalishi wa Baraza la Wanawake Tanzania (BAWATA) ambalo halikuwa linaegemea itikadi ya chama chochote cha siasa, lakini CCM wakiongozwa na "Dr Feki" Mama Nagu wakamuibukia kama kipanga na kuiua BAWATA, eti inakikosoa chama na itaiua UWT (CCM). Bravo madam...
  9. I

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yaliyojiri katika mkutano wa CHADEMA Mbeya - Aprili 24, 2013

    "Wamejichimbia" sehemu Wakipanga jinsi ya kusingizia watu kesi ya UGAIDI
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini gazeti la Nipashe habari za CHADEMA linazipa kipaumbele kuliko vyama vyengine?

    Jibu hapa ni rahisi. Kwa sababu CHADEMA kwa sasa ndo HABARI bora. Wewe hujawasikia hata viaongozi wa CCM, Kinana, NApe, Ndugai, Bi kiroboto, Mwigulu, Kigwa, n.k wakiwataja sana CHADEMA? Tafakari
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Liwale, mabomu kwa kwenda mbele! Nyumba kadhaa zachomwa moto...

    Hii nayo ni AKILI NDOGO!!!
  12. I

    JamiiForums Tanzania Sababu iliyomfanya mkuu wa mkoa Arusha kupigwa mawe

    Mbona na wewe ni mzinzi lakini hakuna anayekuuliza?
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    Ndiyo ili waisingizie CHADEMA "kama kawa"
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Liwale, mabomu kwa kwenda mbele! Nyumba kadhaa zachomwa moto...

    Hawajaua Police? Ni vizuri wakaua wachache ili CCM ijue hii nchi si ya Viongozi wake tu, ambao wana vitambi!!
  15. I

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na viongozi wa dini ya Kikristo Ikulu...

    LAKINI hii hali ya UDINI si aliianzisha YEYE na CCM? Alilifungua JINI kutoka kwenye chupa kurudi humo ni kazi kweli kweli.
Back
Top Bottom