Kutoka bungeni: Aprili 25, 2013

Kutoka bungeni: Aprili 25, 2013

Pinda ni mdhaifu sana.hakuna hata swali moja aliloulizwa ametoa jibu la moja kwa moja,kila jibu unasikia tutaangalia,sijui anaenda kuangalia nini!au mpaka akashauriane na mk.ewe?shame on him!
 
Nashukuru sana Mkuu..sema ni kwa kusikiliza tuu..Asante sana.


Mkuu nadhani hakuna live stream yeyote inayorusha bunge kwa njia ya Video!Bahati mbaya zaidi TBC haipatikani online sijui lini watajifunza kwa wenzao STAR TV na CLOUDS TV?
 
Nassari ameongeza sasa hivi na mnyika sio muda mrefu. Naona madam speaker yuko tense kwa mashambulizi ya hao vijana shupavu. Jana ndugai alionyesha chereku chereku kwa makamanda kua kifungoni
 
Kwani adhabu yao si inaisha leo?! Waliokuwa cöncern na hiyo adhabu ni lissu, wenje,msigwa, kiwia , sugu na lema.
 
Kwa Mtiririko wa wafuatiliaji wa kikao cha bunge hapo juu, inaonekana leo hakuna MIPASHO? nimeuliza tu huku nikiwa na hamu ADABU iendelee vivi hivi......
 
Back
Top Bottom