Recent content by ISAYA ELINEEMA

  1. ISAYA ELINEEMA

    Naomba updates za Interview ya TANESCO

    Nina Shahada ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ISAYA ELINEEMA

    Naomba updates za Interview ya TANESCO

    Vigezo nlkua navyo vyote kabsa Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  3. ISAYA ELINEEMA

    Naomba updates za Interview ya TANESCO

    Vip kuhusu wale walioomba SECURITY OFFICER wameitwa?
  4. ISAYA ELINEEMA

    Natafuta vijina wakufanya kazi nao

    Yan ukimpigia simu anajizungushaaa, huna lolote kazi gani ambayo haisemwi. ni ya makinikia nn
  5. ISAYA ELINEEMA

    Nafasi za kazi security officer TANESCO

    Jaman kuna aliyeitwa kuhusu hizi post,?
  6. ISAYA ELINEEMA

    Natafuta vijina wakufanya kazi nao

    Huyu mtoa Tangazo n mhuni hatar na n mwz namba moja
  7. ISAYA ELINEEMA

    Naomba updates za Interview ya TANESCO

    Duh mm nmengoja had nmechoka
  8. ISAYA ELINEEMA

    Kijiajiri kwenye IT

    hyo namba ya simu vipp
  9. ISAYA ELINEEMA

    Natafuta kazi yoyote ya halali

    Hilo n jina tu jaman, lakin naomba mwenye nia ya dhat anisaidie jaman
  10. ISAYA ELINEEMA

    Natafuta kazi yoyote ya halali

    Mimi naitwa Rehema naishi Dar, Elimu yang ni Kidato cha nne naomba kwa yeyote anayeweza kunsaidia kupata kazi hasa ya Dukani, Supermarket, Hotelin n. k anipm. Na Mungu awabariki sana sana
  11. ISAYA ELINEEMA

    Wanahitajika vijana wa kazi

    wezi hao mm nawajuaaaaaa
  12. ISAYA ELINEEMA

    Naomba updates za Interview ya TANESCO

    Ni kwel kabsa Mkuu tuzd kujuzana wale watakaobahatka kuitwa
  13. ISAYA ELINEEMA

    Naomba updates za Interview ya TANESCO

    Mkuu kulikua na deadline nyngne tar 25/5/2017 na nyngne tar 30/5/2017 kwa Dar lakin. So ndo mana nmeulza coz mda ushapita kwa upande wa dar, then Mwanza na mikoa mingne bado had tar 8 mpaka 13,So usiwakosoe watu kihvo ndugu yang
  14. ISAYA ELINEEMA

    Naomba updates za Interview ya TANESCO

    Napenda kuleta uzi huu Jf kwa Wapendwa Mlioomba Kazi Tanesco. Kwa anaejua anaweza kunisaidia. Labda kama kuna yeyote anaejua au ameitwa Interview Tanesco au kama wametoa Majina ya waliochaguliwa TUFAHAMISHANE JAMANI, Tucje kusubir kuitwa kumbe wengne washaanza kazi kabisa. Asanteni sana
Back
Top Bottom