Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,348
- 2,051
Habari wakuu.
Profit first company tunatangaza nafasi ya kazi za mauzo kwa vijana wenye sifa zifuatazo:
1.Wanaofanya kazi kwa bidii na wako tayari kuanza kazi kwa haraka
2.Wawe wazuri wa kumalizia kazi na siyo kuanza tu
3.Wawe wanaojali wateja na kuwavumilia
4.Wajue kusoma na kuandika
Kama una sifa zote au nusu ya hizo tuwasiliane kama ifuatavyo:
Profit First
Simu:0713-039875