Recent content by isaacshamsi

  1. I

    JamiiForums Tanzania RPC Arusha: Tunamshikilia mmiliki wa shule ya Lucky Vicent, atapelekwa mahakamani

    Kuchunguza nini tena??[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  2. I

    JamiiForums Tanzania Agizo la Rais kunyang'anywa Passport Mkandarasi wa Maji

    Hajanyang'anywa kwamba si yake tena bali imechukuliwa ili kumdhibiti asiondoke eneo la kazi
  3. I

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Pamba: Mfano wa kuigwa Duniani

    Tanzania inajitaji akina MAGUFULI kama 20 kwa pamoja ndipo akili yetu inaweza kukaa kwenye mstari! Watendaji sa serikali wengi ni mzigo kwa wananchi. Hizi bodi na idara nyingi wanakula pesa wasiyoifanyia kaz. Wanalelewa na wananchi
  4. I

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Hivii alisharipoti au??
  5. I

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu kinachokera duniani kama kuwa na shemeji ambaye masikini na hana msaada na wewe

    Hivi humu bado ni HOME OF GREAT THINKERS au status ilishabadilika??
  6. I

    JamiiForums Tanzania Tuzungumzie sababu za kutumia madawa ya kulevya na kushindwa kuacha

    Duh!! Ngoja Great Thinkers waje
  7. I

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi(CCM) wamtoa machozi Eric Shigongo, wamwambia kunywa maji

    Aliipamba sana CCM, wakawadharau waliotaka mabadiliko. Walisema CCM ndiyo italeta mabadiliko ya kweli. Na kweli yamekuja!!
  8. I

    JamiiForums Tanzania NETANYAHU's speech on Africans and Arabs

    Urongo...hakusema yeye
  9. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Bukoba yalaani RAMBIRAMBI za tetemeko Bukoba kuliwa na Serikali

    Kuna watu walikufa ndiyo maana
  10. I

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Forbes ni Uongo, wapotoshaji wakamatwe na kufikishwa mahakamani

    'People of Rwanda" ndiyo akina nan!?? Mashindano mengine banaa...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Samaki alieonekana fukwe ya bahari ya Lindi ahifadhiwe vizuri

    Yeah! Angalau mifupa yake ingehifadhiwa!
  12. I

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya TWAWEZA yazindua ripoti yake kuhusu Demokrasia, Udikteta na Maandamano

    Hivi TWAWEZA ni taasisi inayohusika na nini??
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ndege Mpya ya ATCL katika picha

    Bila kubadilisha AKILI hii iliyokuja itakufa na hata wakiletewa helicopter nayo itakufa tuu.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Magari ya Jeshi la Kenya ukielekea Bukoba kutoa msaada kwa wahanga wa tetemeko

    Hivi wale maaskari na wanajeshi waliokuwa wanafanya mazoezi hadharani havi majuzi, wako wapi????
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Hali ya uchumi ni mbaya

    Nilisoma gazeti moja mahali wakasema Tz imeongeza kwa KASI YA UKUAJI WA UCHUMI katika nchi za Afrika Mashariki, ikifuatiwa na kenya. Takwimu zilizoonyeshwa nazikumbuka kama Tz 6.8% na Ke 6.2%, kitu kama hicho. Sasa iweje tena uchumu umedororaa?
Back
Top Bottom