Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,857
- 9,340
Salaam wana Great Thinkers,
Ni muda sasa suala la matumizi ya madawa ya kulevya (Drug abuse) limechipuka na kuzidi kuongezeka nchini, haswa kwa vijana wakiwemo wasanii wa tasnia mbalimbali nchi.
Maswali ni Je?
1:- Kwanini mtu anasukumwa kujiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya?
2: Kwanini inamuwia vigumu mtu kuacha matumizi ya madawa?
3: Ni msaada gani ufanyike kuwaokoa vijana kutoka kwenye matumizi?
4: Ni vipi tunaweza kuzuia uingiaji na uuzwaji wa madawa ya kulevya nchini?
5: Kwanini vijana ndo kundi linaloathirika zaidi?
Imeandikwa kwa hisani ya Durtete rais wa Philippines.