Recent content by iryn alphonce

  1. I

    Natafuta laptop

    Nitawatafuta hamna tigo no?
  2. I

    Natafuta laptop

    Pm zinakataa kwko tunafanyje xaxa
  3. I

    Missed call ya shemeji

    Duh, matatizo mengine huwa tunajitafutia wenyewe wanawake kama huyu
  4. I

    Wanawake 'mnaozalishwa' na kuachwa huwa mnachukua muda kujitathmini kweli?

    Wanawake bado hatujatambua thamani yetu, kama mtu akijitambua hizo mimba zitapungua
  5. I

    Natafuta laptop

    Natafuta laptop nzuri yenye uwezo mzuri na bei nzuri hata kama ni used ili mradi iwe inapiga kazi, tuwasiliane kwa yeyote anayeweza nisaidia
  6. I

    Natafuta laptop

    Jamani natafuta laptop nzuri kwa bei nzuri na uwezo mzuri, hata kama ni used, naomba tuwasiliane
  7. I

    Mwanzo wa meditation

    mkuu rakims ni faida gan iyo nyingine kwenye tahajud hii!!!. ahsante Thanks kwa uelewa zaidi kuhusu meditation
  8. I

    Series ipi nzuri zaidi ambayo umeitazama

    Jaman natafuta orphan black mwnye nayo anipm
  9. I

    Kuna dada zangu hata kupika hawajui siku hizi, tambueni mapishi ni kiungo muhimu kudumisha ndoa

    Maisha bora ndo yanachangia kwa kiasi kikubwa mtoto wa kike kutojua kupika
  10. I

    Kuoa si jambo dogo, unatakiwa uwe umejiandaa

    Nimeipenda "Loan Board Ya Ndoa"
  11. I

    Channel za star times vipi? Msaada

    Upendo itasaidia sababu nahisi watanipiga porojo tu
  12. I

    Channel za star times vipi? Msaada

    Nimelipia na bado hakijaisha muda ndo nashngaa
  13. I

    Channel za star times vipi? Msaada

    Baadhi za channel za star times zinaandika no service na hazionyeshi kitu,msaada nifanyeje ili ziwe kawaida
Back
Top Bottom