Recent content by irumba1

  1. irumba1

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ukisikia anayetaka kuja songea kutoka singida,manyara au arusha nistue
  2. irumba1

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anayetaka kuja songea kutoka singida idara sekondar anicheki
  3. irumba1

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kutoka kwa Mzee Yusuf

    Hapa nimetoka kapa
  4. irumba1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

    Nimeambulia vitasa vya kutosha
  5. irumba1

    JamiiForums Tanzania Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

    Tuwekee na raman yake aisee
  6. irumba1

    JamiiForums Tanzania Ili kurekebisha Hii elimu inayoendelea kwa mwaka huu wa Covid-19

    Kama watafungua mwaka huu Ila ikifika mwakani (tusiombee iwe hivo) wataanza fresh!!
  7. irumba1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri katika hili

    Ahsante ngoja nikawavae
  8. irumba1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri katika hili

    Wao walinikadiria hivo hivo ndugu
  9. irumba1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri katika hili

    Wadau njoon basi mtoe mawazo yenu
  10. irumba1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri katika hili

    Habari ndugu wanajukwaa, Mwaka jana nilikuwa nafanya biashara ya M-Pesa mara baada ya makadirio ya kodi kutoka TRA.Kwa mwaka huu sitaki kuendelea na hii biashara. Swali langu:- Je, nikienda TRA kufunga biashara na ile line ya M-Pesa (Till) nayo itafungiwa kufanya kazi?
  11. irumba1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama mkongwe wa Yanga Ibrahim Akilinali afariki dunia

    Apumzike kwa amani
  12. irumba1

    JamiiForums Tanzania CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

    Mtoto wake amependeza kuanzia kiunoni kwenda chini!!
  13. irumba1

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufika St. John University Dodoma

    Ni mia tano (500/-) tu bajaji ukipandia hapo jamatini mpaka kikuyu
  14. irumba1

    JamiiForums Tanzania NAOMBA MUONGOZO NAMNA YA KUANDIKA TALAKA.

    Ukipewa huo muongozo nitag mkuu MBUGHUNI KIDAISHO
  15. irumba1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kasi ya kuenea kwa maambukizi ya HIV/AIDs

    Nahisi wanatupimaga kimya kimya Ndio wanakuja kutuletea hizo data
Back
Top Bottom