Recent content by iringa raha

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kakobe: Joka la Makengeza ni Shetani! Awashukia Wanasiasa wanaonunua waandamanaji

    Mshikamano huu wa viongoz wa dini nimeupenda hii ndio kazi yao ya kukemea maovu
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kuhusu hoteli nyota tano

    Kwa nyongeza iwe na chumba ambacho rais anaweza kulala na mahitaj yake akapata
  3. I

    JamiiForums Tanzania Unaijua mikoa 7 inayoongoza kwa maisha duni Tanzania?

    Inaweza kuwa hawajafika mikoa yote wamefanya sampling tu,km hata mwanza haipo popote
  4. I

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda apokea meseji tatu za vitisho

    Makonda tukimpa thread nyngi ni kiki ya kugombea ubunge nyamagana aache hizo wapo tuliowaamini waadilifu leo wamapambanishwa mabehewa feki na rafiki six ndo kasitisha uingizwaji wa hayo makontena sasa makonda ni nani?
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

    Tutauna sana tusipomjua real enemy,tunachonganishwa sana
  6. I

    JamiiForums Tanzania hodi kwenu great thinkers

    Pamoja sana
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa TIGO hongera kwa hili.

    Wako poa sana gawio la faida na mimi. Nimepata
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili mbwa wangu awe mkali!? Naomba ushauri

    Kalenga bagia za kunde kwa sana
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili mbwa wangu awe mkali!? Naomba ushauri

    Sasa haina mana nawajua sana kwa uzushi wenu kwamba twawala
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili mbwa wangu awe mkali!? Naomba ushauri

    Mbwa kuwa mkali inategemea ulivyomfuga km ni mkubwa lakini km bado mdogo jaribu kufanya asizoee kila mtu uwe unamfungia awe na mda maalum wa kufunguliwa
  11. I

    JamiiForums Tanzania Bia mbovu au nzima?

    Mbovu hiyo usinywe tumua sarafu ipige chini ikiendelea mbovu sana
  12. I

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawafahamu nani Waziri nani Naibu Wizara ya fedha

    Hapo bora ajulikane mvaa bendera wengi tulimfaham kwa siasa za majukwaani unamweka kundi moja na kibajaji ila alivyopewa nafas ametuonesha ye ni mtu tofauti kidogo ila huyo kigoma all starz bora awe kimya tu mana aliibiwa yeye miescrow kibao ya kigen na ya madafu(jk) sa itakuwa wizaran akiwa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Greetings

    Hello karibu
  14. I

    JamiiForums Tanzania Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    Hivi anabaki kuwa mbunge wa kuteuliwa au pia kajiuzulu?
  15. I

    JamiiForums Tanzania UKIMWI bado upo?

    Aisee mkubwa nimecheka huku natikisa kichwa
Back
Top Bottom