Recent content by Irikorokonyo

  1. Irikorokonyo

    Hii ya Tabora imenishangaza sana

    Samahani mkuu, ya kwako isiyochekesha nje ni ipi?, angalizo usinitajie lugha za wazungu.
  2. Irikorokonyo

    Top 4 richest people in Tanzania 2014

    Uislamu tena? tafakari kabla ya kuandika, hao uliowataja sio waafrika wa rangi ni waafrika jina yaani ni waarabu na wahindi, so nitajie basi muislamu ngozi nyeusi hapo, utakua umevurugwa kabla ya kuanfika ndo ukaleta dhana ya udini hapa.
  3. Irikorokonyo

    Hii ya Tabora imenishangaza sana

    Kumbe wewe ni zigo la mavi, kwa hiyo hicho kifaransa na kiingereza ndo lugha zako? mbumbumbu ni mbumbumbu tu.
  4. Irikorokonyo

    Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?

    Mkuu hata historia ya Wakurya inaonesha walitoka Misri, wakapita Sudan na mpaka leo Sudan kusini kuna Wakurya, wakaingia Kenya na kufika hadi kusini mwa Kenya mpaka leo kuna Wakurya waishio huko, wakaja mpaka kaskazini mwa Tanzania ndo wakurya wa Tanzania unavyowaona leo., huu ni mfano tu kuwa...
  5. Irikorokonyo

    Je Wanawake ni zaidi ya Binadamu?

    Naunga mkono hoja, na umepatia kabisa, hawa viumbe ni zaidi ya tuwajuavyo.
  6. Irikorokonyo

    Wanawake ni watu wa kuheshimu sana

    Hapana mkuu, nimejaribu tu kutafakari na kuona kuna kitu fulani ambacho tunakichukulia cha kawaida sana bt kina kauzito fulani
  7. Irikorokonyo

    Wanawake ni watu wa kuheshimu sana

    Muda kabla ya bao mbona kusmile sana tu hata storx zinaenda huku unagegeda bt muda wa bao sasa ndo utata, smile inakuja na mshangao wa ubongo hujakaa sawa uso unabadilika, jrb kuweka kioo then uone km hiyo huwa ni smile au mkunjo wa uso.
  8. Irikorokonyo

    Wanawake ni watu wa kuheshimu sana

    Hahah, mkuu huu ni mfano tu, yapo mengi makubwa bt nimeanza na hili dogo, kusmile hapo naona km kuna uwalakini
  9. Irikorokonyo

    Wanawake ni watu wa kuheshimu sana

    Piga tu picha uso wako unakuaje?, unakuta hadi unamtisha bt yeye anavunga tu km hakuoni vile
  10. Irikorokonyo

    Wanawake ni watu wa kuheshimu sana

    Hivi unafanya masihara na bao eeeeh?
  11. Irikorokonyo

    Wanawake ni watu wa kuheshimu sana

    Piga picha upo kwenye game ya sita kwa sita, unafikia hatua ya kutoa wale wazungu, hapo uso unabadilika km unataka kukata roho na muda huo mwanamke anakuangalia unavyohangaika na uso ulivyouweka na kufikia hata wanaume wengine kulia kabisa, lakini huwezi kukuta mwanamke anakwambia au kukutangaza...
  12. Irikorokonyo

    Amini Usiamini, huyu dada ana date na kaka yake wa damu, dunia imeisha jamani

    Ninacho shangaa zaidi, ni pale jansia ya ke mnatokwa na povu kuchunguzwa simu zenu, inaonesha mmejaza mautumbo kwenye hizo simu zenu, kwa akili tu ya kawaida huoni km imemsaidia kujua mpenzi aliye naye sio sahihi kuendelea naye?, unafikiri hiyo laana ni jambo la mzaha kulileta kwako?, tafakari...
  13. Irikorokonyo

    Mitazamo ya wengi kuwa kabila la wakurya ni watu wakorofi si kweli.

    Nimekaa kwa muda mkoa mara, hasa wilaya ya Tarime, Serengeti na Musoma mjini, mwanzoni nilijua watu wa kabila hili ni wakorofi sana, baadae nikagundua si kweli, wakurya ni watu wakarimu sana, wana upendo kwa wageni na pia hawana majivuno, isipokua kitu ambacho hawapendi maisha yao yote ni...
  14. Irikorokonyo

    Kwa nini wanawake hununa bila sababu ya msingi?

    Mvutie kifuani kwani ndo muda wenyewe huu
  15. Irikorokonyo

    Kwa nini wanawake hununa bila sababu ya msingi?

    Yaani nyie viumbe acha tu, ndo maana MUNGU kasema tuishi na nyie kwa akili sana, maana mnapasua vichwa.
Back
Top Bottom