Recent content by irene naipanoi

  1. I

    JamiiForums Tanzania Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

    Bwana awe nanyi, Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent. Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana juu ya hilo, ingawa sikumshika live ila ni wazi kwamba alikua nae, mbali na hilo pia ni mlevi kupindukia. Nilipoona suala hilo linaendelea nikaona...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Kwanini hampendi ndugu wa wake zenu?

    Hii ishu nahisi kama ni vice versa, maana nyumba nyingi utakuta ndugu wa mke ndo wamelundikana hapo, wa Mme ni wa kuja na kuondoka
  3. I

    JamiiForums Tanzania tupeane possible za kesho form 4

    Hivi humu ndani kumbe kuna watoto wa sekondari, ndio maana watu wanapoomba ushauri wa ndoa wanapewa majibu ya ajabu ajabu kumbe kuna watoto, aisee
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake ambao hajawahi kufika kileleni karibuni hapa

    Haya ndio mawazo ya vijana wetu kila kukicha
  5. I

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni chipsi yai: Kula dona dagaa ujenge heshima kitandani

    Wekeza akili zako katika kutafuta pesa na kuimarisha uchumi wako, achana na vitu visivyokua na tija kwako, this is street boys talk huwezi kuta watu walio kwenye corporate world wanajadili vitu hivi Ukishakua na uchumi mzuri unaweza ku afford chochote kile mfano kulipia gym, balanced diet, etc...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wadada: Mnapendeza lakini kitambi kinaharibu muonekano

    Mhhh kazi ipo
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wangu na tabia ya kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii

    Social networks ni hatari
  8. I

    JamiiForums Tanzania CCM Kisonge Zanzibar wanyosheana vidole

    Nonsense
  9. I

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    It was a good trial
  10. I

    JamiiForums Tanzania House girl kufua boxer zangu ni sawa kweli?

    Mawazo potofu hayo, angalia michango mingi ya wanawake yanapingana na dhana yako, wengi tunaamini na ndivyo ilivya kwamba, mke ndie anapaswa kufua nguo za baba hasa za ndani, nguo zingine za baba ni sawa zinaweza kufuliwa na hg kutokana na mama kuwa busy na utafutaji, lakini nguo za ndani mama...
  11. I

    JamiiForums Tanzania House girl kufua boxer zangu ni sawa kweli?

    Hukumlamba huyo hg kweli?
  12. I

    JamiiForums Tanzania Suluhisho kwa wanaume wote mliokula vibuti

    Mabadiliko yanahitajika
  13. I

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea wasichana wa kileo mpigwe chini

    Wanawake wa kileo ni wapi hao?
  14. I

    JamiiForums Tanzania Baba mdogo anautaka mchepuko wangu kwa lazima

    Wote wazinzi
Back
Top Bottom