Recycle Cooking Oil
Some cities/companies have collection programs for recycling used cooking oil into biodiesel.
Biodiesel is a clean-burning fuel that is used in many types of motor vehicles (often city trucks and fleet vehicles) and can be used as heating oil.
Biodiesel is liquid fuel...
African Minerals and Geosciences Centre (AMGC) wapo Kunduchi.
African Minerals and Geosciences Centre 022 265 0347 https://maps.app.goo.gl/Gc2hLnRvaZ16Y2ho6
Laboratory Services
Analysis of Precious & base Metals
Water Analysis
Wet Chemistry
Mineralogical and Petrological
Gemmological and...
Itakuwa alikuwa anazungumzia "pile foundation"...nguzo za msingi ambazo hazionekani kwa juu,zinajengwa kuelekea ardhini ambazo ndio zinakuja kubeba madaraja yenyewe.
Sawa nitamtafuta ili niongee nae, ingawa siku za kwenda pale tunapishana, mie huwa nipo Jumatano na Jumamosi.
Suala la group ni wazo zuri ila magroup yanachangamoto zake...bora kushauriana na kupeana moyo kwa kuonana physically
Serikali imesaidia sana kwakweli na tunaishukuru mno...kumbuka...
Ni kweli nina uzoefu, (miaka 6 sasa),
Kwanza ushauri wangu ni kuendelea kumchangia kwanza,
Pili, kuna mahala nimeona na kusikia kuwa mwezi ujao kutakuwa na habari nzuri kutoka bima kuhusu gharama kwa ujumla kwa watu wa private...swali ni je itagusa na sie wa dialysis? (kama product mpya...
Nampa pole kwa kuumwa ndugu yetu, naelewa anayopitia kwa sasa, ila nampa moyo asikate tamaa na Mwenyezi Mungu atambariki.
Mie pia napitia hayo hayo hapo kwenye dialysis, yote anayoeleza ndugu yetu ni sahihi kabisa...hasa ukiwa huna Bima ya Afya, ulipie 60,000 za session 2 za dialysis kwa...
Hizo taa ni kero kubwa kwa sasa, kwanza zimeongeza msongamano sana, kwa mfano mchana ukiwa unatokea upande wa Shabaha barabara ya Africana kuja kwenye mataa inaweza kukuchukua dk 45 kuvuka junction ya Africana sababu taa zinakuruhusu kwa sekunde 15 tu...yaani yanaweza pita magari 2 au 3 tu...kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.