Ujenzi wa barabara ya Kimara-Kibaha wapamba moto

esther mashiker

JF-Expert Member
May 29, 2018
616
552
1063549

Maoni UJENZI wa upanuzi wa barabara ya Morogoro ya njia nane kuanzia Kimara hadi Kibaha umeelezwa kuwa unaendelea kwa kasi na mpaka sasa hakuna changamoto inayoonekana kukwamisha mradi kukamilika kwa wakati.

Mradi huo unaotekelezwa na fedha za ndani, unachochea ujenzi wa barabara za pembezoni zinazounganisha barabara hiyo kuu na nyingine lengo likiwa ni kuunganisha Mkoa wa Dar es Salaam kwa barabara za lami ili kupunguza msongamano katika barabara kuu na kuharakisha shughuli za maendeleo na huduma za jamii. Wakala wa Barabara (Tanroads), kupitia kitengo cha uhandisi cha wakala cha Tecu (Tanroads Engineering Consulting Unit) unaosimamia mradi huo kama mhandisi mshauri, umesema tangu mradi uanze, Julai 21, mwaka jana hadi mwezi huu, ujenzi umefanyika kwa asilimia 18.5 na tarehe ya kumaliza kazi ni Januari 20, mwaka 2021.

Wakati Tanroads ikieleza hayo, wakazi wa maeneo ya mradi huo, wanaoishi Kimara na Mbezi, wameipongeza serikali kwa mradi huo na kueleza utapandisha hadhi makazi yao na kuwaletea maendeleo makubwa. “Kasi ya ujenzi inaendelea vizuri, hakuna changamoto unayoweza kusema inaweza kukwamisha mradi usimalizike kwa wakati,” alisema Julius Ndyamukama, aliyekuwa Meneja wa Tanroads Mkoa wa Dar es Salaam ambaye sasa ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) baada ya kuteuliwa na Rais Magufuli hivi karibuni.

Ndyamukama aliliambia gazeti hili kuwa, asilimia hiyo 18.5 iliyofanyika inahusu ujenzi wa awali wa kuchimba, kuweka matuta na kujenga mihimili ya madaraja sita yatakayojengwa katika barabara hiyo ya kilometa 19.2 ambayo ni lango kuu la kuingia jijini Dar es Salaam kutoka mikoani na nchi jirani.

Taarifa ya Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Patrick Mfugale kwa wajumbe wa Bodi ya wakala huo walipotembelea mradi Machi 23 mwaka huu, ilieleza kuwa, utekelezaji wa asilimia hiyo unahusisha maandalizi ya kujenga kambi, kuleta vifaa na wataalamu, eneo lililotekelezwa kwa asilimia 100.

Eneo jingine ni usanifu wa kina wa kilometa 19.2 za mradi ambao umekamilika na wakala unaendelea kuupitia usanifu huo ili kuona kama kuna mapungufu yoyote. Mfugale katika taarifa yake alisema usanifu wa madaraja na ujenzi wa nguzo za misingi ya madaraja umekamilika ambapo daraja la Kibamba nguzo 64 zimejengwa, Kiluvya 68, Mpiji 68 na daraja la juu la Kibamba CCM linalounganisha barabara inayotoka Bunju kwenda Hospitali ya Muhimbili ya Mloganzila nguzo 49 tayari zimejengwa.

Pia alisema ujenzi wa tuta kwa kujaza udongo maeneo mbalimbali umekamilika katika kilometa saba kila upande na ujenzi wa makalavati madogo 36 umekamilika huku ujenzi wa kalavati kubwa moja eneo la Kibanda cha Mkaa umekia asilimia 75. Katika maeneo mengine, jumla ya barabara zenye urefu wa kilometa 212 zinajengwa kwa gharama ya zaidi ya Sh bilioni 600 fedha za ndani, ikiwa ni hatua ya serikali kuboresha miundombinu ya Dar es Salaam, Jiji la kibiashara.

Baadhi ya barabara hizo ambazo zimejengwa na nyingine zinatarajiwa kujengwa ni ya Kinyerezi inayounganisha barabara kuu ya Nyerere (Pugu road) na ya Morogoro kupitia Malamba Mawili, barabara ya Goba inayounganisha Mbezi barabara ya Morogoro na Tegeta barabara ya Bagamoyo, Bunju mpaka Mloganzila kupitia Kibwegere na Kigamboni kwenda Kongowe inayounganisha barabara ya Kilwa.

Malipo Kuhusu malipo, taarifa ya Mfugale ilieleza kuwa, mradi huo kwa ujumla unagharimu Sh bilioni 140.44 (bila kodi ya ongezeko la thamani-VAT) na mpaka sasa mkandarasi ambaye ni kampuni ya Kitanzania ya Estim (Estim Construction Company Ltd), amelipwa malipo yote ya awali Sh bilioni 21.067.

“Malipo ya pili ya mkandarasi yaliyopitishwa na mhandisi mshauri (Tecu) ni Sh bilioni 3.34 na malipo ya tatu ya mkandarasi ya Sh bilioni 3.338 bado yanapitiwa na mhandisi mshauri. Alisema mhandisi mshauri Tecu anasimamia mradi kwa gharama ya Sh bilioni 1.1 na tayari amelipwa Sh milioni 217 hadi sasa.

Maendeleo yaja Barabara hiyo ambayo ni lango la maendeleo linalopitisha magari kwenda na kutoka bandarini kuelekea nje ya Jiji hilo, ikikamilika itaharakisha safari na kuondoa msongamano uliowalazimu wasari kutumia saa tatu kupita eneo hilo la mradi kuingia Dar es Salaam na kukia nusu saa.

Zaidi ya magari 50,000 hutumia barabara hiyo kwa siku na kati ya hayo asilimia 10 ni magari makubwa ya mizigo na asilimia tano ni mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani ambayo yanaelezwa kuwa sababu ya msongamano kutokana na unyu wa barabara hiyo. “Kutokana na usanifu wa awali, barabara itapanuliwa kuwa njia nane kwa kuongeza njia tatu kila upande na barabara iliyopo sasa.

Kuna barabara ya huduma iliyojengwa kwa kiwango cha changarawe kwa sasa kwenye mwisho wa eneo la hifadhi ya barabara kila upande, hii itarahisisha usari wa wananchi walioko pembezoni mwa barabara,” alisema Mfugale katika taarifa yake kwa Bodi ya Wakurugenzi wa wakala huo. Kwa mujibu wa Mfugale, mradi unahusisha ujenzi wa madaraja sita katika maeneo ya Kibamba (manne), Kiluvya na Mto wa Mpiji, kalavati kubwa moja na madogo 51, barabara ya juu (overpass) katika eneo la Kibamba CCM.

Barabara hiyo (overpass) ina urefu wa meta 45 itajengwa kwenye makutano ya barabara inayotokea Bunju katika barabara ya Bagamoyo kupitia Kibwegere na barabara ya kwenda Hospitali ya Muhimbili iliyopo Mloganzila. JPM aonya wanasiasa Desemba 19 mwaka jana katika eneo la Kimara StopOver, Rais John Magufuli aliweka jiwe la msingi la upanuzi wa barabara hiyo na katika hotuba yake, alisisitiza kuwa maendeleo hayana chama ndio maana hata miradi mikubwa kama hiyo, inahusisha majimbo ya uchaguzi bila kujali yanaoongozwa na wapinzani.

Sehemu kubwa ya barabara hiyo ipo katika Jimbo la Kibamba linaloongozwa na Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika. Rais Magufuli aliwapongeza wananchi wa Dar es Salaam kwa kupatiwa mradi huo mkubwa na kueleza kuwa pamoja na barabara hiyo inayojengwa kwa fedha za ndani, serikali yake inaendelea kuboresha miundombinu ya Dar es Salaam ambapo barabara zenye jumla ya kilometa 212 zinajengwa kwa gharama ya Sh bilioni 660.

Wakazi wa Kimara na Mbezi wanena Katika eneo la mradi, ajira zisizo za moja kwa moja zimeendelea ikiwemo mama na baba lishe, wafanyabiashara wadogo wa maji na vinywaji huku nyumba zilizo mwisho wa hifadhi ya barabara zikianza kukarabatiwa kwa mtindo wa majengo ya biashara tayari kwa shughuli za biashara ambazo baadhi zimeshaanza. Wakazi wa Mbezi, Mshikamano na Louis na Kimara kwa nyakati tofauti waliipongeza serikali kwa mradi huo hasa kutokana na kutekelezwa kwa fedha za ndani na kueleza kuwa, utakapokamilika, shughuli za kimaendeleo kama biashara zitaongezeka na kuwapa faida kubwa.

“Kuanzia Kimara hadi Mbezi kutakuwa hot cake (kunapanda hadhi), barabara hii ikikamilika nyumba za kupanga zitapanda bei na shughuli za kibiashara zinastawi zaidi ya ilivyo sasa, inabidi wakazi wanaotumia barabara hii tujiongeze kibiashara, twende na kasi hii ya maendeleo,” alisema Jerome Masaba, mkazi wa Kimara StopOver. Naye, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mshikamano, Michael Mallya, alisema barabara hiyo itapunguza msongamano uliokuwa ukiwatesa wasari na wakazi za Mbezi kwa miaka mingi katika eneo la kuanzia Kimara kunakoanza njia mbili kutokea mjini na hali ya uchumi itaboreka zaidi.

Ripoti ya Havard na Dira ya Taifa Mwaka jana ripoti ya Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo cha Chuo Kikuu cha Havard cha Marekani kilikadiria kwamba uchumi wa Tanzania utakua kwa asilimia 6.15 ikapo mwaka 2026, ikiwa ni ya nne kwa mataifa ambayo uchumi wake utakuwa unakuwa kwa kasi. Nchi nyingine juu ya Tanzania na asilimia ya ukuaji wake kwenye mabano inaongoza India (7.89), Uganda (7.46) na Misri (6.63).
 
May be hii, inaweza ikawasaidia ccm aka gambas wasiibe kura au kupora ushindi kwa msaada wa tiss na police na NEC, hongereni ila msimzuie CAG kufanya kazi yake, maana miradi kama hii gambas huwa mnaitumia kuchota hela kwa ajiri ya uchaguzi kwa ajiri ya chama chenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1063549

fedha za ndani, fedha za ndani, fedha za ndani.....nini kinafichwa hapa??
 
Ahaaa haaa haaa
HATA flyover ya mfughale mlisema hivyo hivyo.
Hakuna flyover ya Mfugale. Lile linaitwa daraja la Mfugale. Kasome hata kibao kilichowekwa pale kinasoma namna gani - MFUGALE BRIDGE.

Kuna tofauti kubwa kati ya:

Bridge, Flyover na Interchange. Tanzania mpaka sasa hatuna flyover hata moja, iwe iliyojengwa au inayojengwa. Tuna Mfugale bridge ambayo imekamilika, na tuna Ubungo interchange inayojengwa sasa hivi .
 
Mfugale katika taarifa yake alisema usanifu wa madaraja na ujenzi wa nguzo za misingi ya madaraja umekamilika ambapo daraja la Kibamba nguzo 64 zimejengwa, Kiluvya 68, Mpiji 68 na daraja la juu la Kibamba CCM linalounganisha barabara inayotoka Bunju kwenda Hospitali ya Muhimbili ya Mloganzila nguzo 49 tayari zimejengwa.

Nimepita maeneo hayo sijaona nguzo hebu walioziona watuwekee picha hapa tafadhali
 
Itakuwa alikuwa anazungumzia "pile foundation"...nguzo za msingi ambazo hazionekani kwa juu,zinajengwa kuelekea ardhini ambazo ndio zinakuja kubeba madaraja yenyewe.
 
Nashukuru sana Mkuu kwa somo zuri sikulijua hilo
 
kweli kwa speed wanayo enda nayo hakika mradi utakamilika mapema kabla ya muda
Kubwa kuliko yote ni ubora na viwango lazima vizingatiwe kwani barabara hii ni taswira ya jiji la DSM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna flyover ya Mfugale. Lile linaitwa daraja la Mfugale. Kasome hata kibao kilichowekwa pale kinasoma namna gani - MFUGALE BRIDGE.

Kuna tofauti kubwa kati ya:

Bridge, Flyover na Interchange. Tanzania mpaka sasa hatuna flyover hata moja, iwe iliyojengwa au inayojengwa. Tuna Mfugale bridge ambayo imekamilika, na tuna Ubungo interchange inayojengwa sasa hivi .
Kwa mchoro wa sasa interchange labda iwe chini pale ila kwenda juu ni madaraja mawili yamepandiana. Mchoro wa interchange ushafutwa na ilitakiwa kuwa ghorofa ya kwanza ila sasa mtapishana chini na daraja mbili zitapita juu moja kwenda mbezi nyingine kwenda mwenge kutokea kariakoo na buguruni respectively.
 
Wape somo hao zero brain kazi kukaririshwa tu hata kusoma hayajui....
Hakuna flyover ya Mfugale. Lile linaitwa daraja la Mfugale. Kasome hata kibao kilichowekwa pale kinasoma namna gani - MFUGALE BRIDGE.

Kuna tofauti kubwa kati ya:

Bridge, Flyover na Interchange. Tanzania mpaka sasa hatuna flyover hata moja, iwe iliyojengwa au inayojengwa. Tuna Mfugale bridge ambayo imekamilika, na tuna Ubungo interchange inayojengwa sasa hivi .

East and west home is the best
 
ndio unatoka nightshift au ndo u aingia.. buku7 leo mnakopwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna flyover ya Mfugale. Lile linaitwa daraja la Mfugale. Kasome hata kibao kilichowekwa pale kinasoma namna gani - MFUGALE BRIDGE.

Kuna tofauti kubwa kati ya:

Bridge, Flyover na Interchange. Tanzania mpaka sasa hatuna flyover hata moja, iwe iliyojengwa au inayojengwa. Tuna Mfugale bridge ambayo imekamilika, na tuna Ubungo interchange inayojengwa sasa hivi .
Mkuu kwa huelewa wangu mdogo daraja la mfugale ni flyover.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna flyover ya Mfugale. Lile linaitwa daraja la Mfugale. Kasome hata kibao kilichowekwa pale kinasoma namna gani - MFUGALE BRIDGE.

Kuna tofauti kubwa kati ya:

Bridge, Flyover na Interchange. Tanzania mpaka sasa hatuna flyover hata moja, iwe iliyojengwa au inayojengwa. Tuna Mfugale bridge ambayo imekamilika, na tuna Ubungo interchange inayojengwa sasa hivi .

We unachokitaka ni flyover au bridge?
 
An overpass (called an overbridge or flyover in the United Kingdom and some other Commonwealth countries) is a bridge, road, railway or similar structure that crosses over another road or railway
Hakuna flyover ya Mfugale. Lile linaitwa daraja la Mfugale. Kasome hata kibao kilichowekwa pale kinasoma namna gani - MFUGALE BRIDGE.

Kuna tofauti kubwa kati ya:

Bridge, Flyover na Interchange. Tanzania mpaka sasa hatuna flyover hata moja, iwe iliyojengwa au inayojengwa. Tuna Mfugale bridge ambayo imekamilika, na tuna Ubungo interchange inayojengwa sasa hivi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom