Recent content by iqson

  1. I

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya dada huyu siku moja kabla ya harusi

    Mwe Mwe Mwe ameyataka mwenyewe na uzinzi wake asubiri matokeo tu hapo
  2. I

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata namba ya Eric Shigongo tafadhali

    Nenda mpaka Bamaga uliza ofisi za shigongo utaonywesha ukifika pale utapata namba Yake kwa urahisi zaidi
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa ajili ya single mother

    wanaume wengi hawapendi watoto Niwa binafsi Sana mpaka mpelekane mahakamani ndio atoe Sasa unakuta mwanamke tayari anauwezo anaona bora amlee mtoto peke yake ili apunguze maudhi
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Wamekuja wote, na yule niliyemchagua amerudi na jibu la tuwe kama kaka na dada

    Safi kabisa hongera Sana wadada
  5. I

    JamiiForums Tanzania Enyi wanawake mlioolewa kuweni makini sana na waume zenu unapoleta mdogo wako wa kike

    Aisee mwambie huyo shemeji aondoke kabla maafa hayajatokea nakuvuruga ndoa ya Dada Yao
  6. I

    JamiiForums Tanzania Amebadilika sana, nikimuuliza anasema yupo bize

    Aisee boys ndorobo Sana
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbinu za kumuondoa huyu mgeni, ni mwezi sasa haondoki

    Naomba kujua kabila la baba Mkubwa ili nijue cha kukushauri
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    Kapari Hongera Sana umetoa ushauri mzuri Sana
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na mwanamke, kanitoroka

    Hongera Eric kwa ujasili
  10. I

    JamiiForums Tanzania PICHA: Tofautisha kati ya Magufuli na Lowassa

    Pole Sana fox kwakufumbwa ufahamu kiasi hicho hadi kwamba umeshajua sekunde moja tu iliyopo mbele yako?
  11. I

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Hivi wewe dume unajua hata sekunde moja yako iliyopo mbele yako? Ooh kajifia we utaishi milele hakuna ajuaye Siku wala saa acha kashfa sisi sote nimavumbi namavumbini tutarudi
  12. I

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Hongera Sana mkuu kwakuleta changamoto kwenye vichwa vya CCM maana unaumiza vichwa kweli huku mjengoni
  13. I

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka19 anahatarisha uchumba wangu, mchumba namuona mzee

    Labda wewe una miaka mi ngapi ? Halafu tujaribu kukushauri
  14. I

    JamiiForums Tanzania Inawahusu wanawake (Ujumbe kutoka kwa Mchungaj wangu wa kiroho)

    Mhh mtoa mada yashamkuta sio Bure Anataka kulelewa tu Hana lolote ni bible ipi iliyoandikwa mwanamke akatafute hela kwanza
  15. I

    JamiiForums Tanzania Aina za rangi za "pichu" za mwanamke na maana zake kwa mwanaume

    Aisee Nilikuwa sijui
Back
Top Bottom