Alichokifanya dada huyu siku moja kabla ya harusi

Alichokifanya dada huyu siku moja kabla ya harusi

Immidiate Conceiquences Are More Effective Than Delayed Consequences{Edward thorndike law of exercise}
 
Hiyo dhambi itamtafuna...sasa aliolewa na huyo bwana mwingine ili nini...tamaa na umalaya...akiachwa atamlaum nani
 
Mwe Mwe Mwe ameyataka mwenyewe na uzinzi wake asubiri matokeo tu hapo
 
duh mimi sina la kusema ila naomba tu asiseme tusije punguza namaba za wapiga kura
 
Kajifunga mwenyewee kwa bao la mkono..

Sisi haaaaooooo wabunge,madiwani nk wanaongezekaaaaa kuzaliwa na sio haramu na familia zao hazili mihogoo wala kuuza mkaa
 
si alichepuka ...azae tuu mtot ni baraka au nogopa ndoa itavunjika
 
Alitembea na mpenzi wake wa zamani kama kuagana baada ya muda akiwa kashaolewa anagundua ni mjamzito kufanya utafiti anagundua mimba ni ya mpenzi wake wa zamani.

Sasa anaomba ushauri amwambie au afanyaje kutatua tatizo kwani amekonda kwa mawazo.

Amefanya upuuzi, akatubu kanisani aombe toba kwa kweli, then amwambie mumewe otherwise afe tu maana hakuna namna nyingine. Yaani anafanya ujinga kama huo??? Ama kweli watu wana utani na maisha, na Mungu ana hruma kweli, yaani Huyo namtoa koromeo na utumbo wake nje, jinga kabisa. Tena anaomba ushauri??? Ndiyo maana naona mwanamke ni sumu zaidi ya sumu ya panya. Yaani kwa akili hizo kudadadeki, ngoja nisiendelee.. Maana kuna jamaa ili kuonyesha usiriasi pale jamhuri ya afrika ya kati( central African republic) alimkatakata MTU, akachukua kipande cha nyama ya yule MTU, akaichonvya kwenye Damu ya yule yule na akaila. Huyo Dada ndivyo anavyopaswa kufanyiwa. Akome kabisa.
 
Ila wanawake bas 2, maan hat umfanyie nn kupigwa pasi nje hawaachi,,

hata umfkshe kibo na mawenzi na umpe poketi money na gari la kwendea saloon but Kugawa ugoro hawaachi...

Nkioa cjui itakuwj,,,,,,,
 
Back
Top Bottom